Hold on my heartDah hold on ...umenikumbusha wimbo wa phil collins ....wa "hold on my heart" ukipata muda utafute youtube.
Hahaha tulipolibeba mlisema FA Cup sio kombe la kushangilia, leo imekuwaje?
umesahau UCL litarudi nyumbani msimu ujao hahahaha.
Hahaha tulipolibeba mlisema FA Cup sio kombe la kushangilia, leo imekuwaje?
Acha tu pacha mwenziyo Leo nusura nidanje......loooohhhhh hapa Fujo balaa si unanijua Fujo zangu ......!!!! Kakojoe aiseeeee!!!!Sasa nikakojoee maana sio kwa kubana......... huko
Hongereni Mabingwa wa Kombe Mbuzi 2015/2016.
Asante sana ndo tushakupita hivyo kwa moja zaidi mbele ........#believeWe’ll never die,
we’ll never die
We’ll never die,
we’ll never die
We’ll keep the red flag flying high ‘Cos Man united will never die
Masahihisho. Sasa Man utd 12 FA cup wins na Asernal 12 FA cup wins.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante sana ndo tushakupita hivyo kwa moja zaidi mbele ........
100%Mlikuwa mnatia huruma baada ya kuikosa UEFA 2016/2017 lakini pamoja na ushindi huu kwa maoni yangu LVG ni wa kutimua tu hastahili kurudi.