Man Utd 2
Lingard
Asante........dah Mungu asaidie jamani. Wakina martial wamefanya kazi kubwa wapate japo hiki kikombe leo.Hongereni humu sijui kama hawa CP wana ubavu wa kurudi tena labda referee awape penalty, but in football never say never.
Nadhani hiyo mihogo itanitosha mie tu. Hao wateja wengine wasubilie safari nyingine.Nilikuwa shamba nalima, nitarudi jtatu na mihogo fresh kabisa. Ukipata taarifa hii wajulishe na wateja wengine tafadhali.
O U TLVG In, LVG IN, LVG IN, LVG IN
Palace walikuja na game plan ya ku-park the bus, hit them on the run ikishindikana butua mbele
Kutoka timu iliyokuwa inaogopwa duniani mpaka kuwa timu
Inayofunga magoli ya kubahatisha. Hongereni Manure
Dah hold on ...umenikumbusha wimbo wa phil collins ....wa "hold on my heart" ukipata muda utafute youtube.Hold on... Plssssss
Lol Nimeanza kuangalia game dakika ya 61, nilijua mtabeba.Hahahaha... naona wamekusikitisha sana