Ndugu zanguni poleni sana!Lkn ndiyo soka mwakani mtajipanga mtakuja vingine!Njooni Anfield kuona Champion League football!
everlenk ndiyo soka dada,nguvu ni kitu cha kwisha
Time will tell.Kuhusu hilo sahau na kama huamini nenda kabet uwe tajiri kuwa Barcelona hawatashinda
Wacha1 mitikas mingi yupo atakuja.
Huenda Man Utd wakamuiba Mauricio Pochettino wa Tottenham HotSpurs maana leo mchana kala lunch na mzee Alex Ferguson.
Pia kocha msaidizi wa Pochettino aitwae Jesuz Perez nae alikuwepo.
Ikumbukwe Mzee Fergie ni mkurugenzi ndani ya Man Utd.
Doh! Basi sawa.Kabla ya hii match, ushindi wa mwisho kwa the hammers dhidi ya UTD katika ligi ilikuwa ni katika msimu wa 2007/8 round 20 (2-1). Tutazigundua nyingi tu
Jana ilikuwa siku mbaya sana katika maisha ya ushabiki wa soka.Kukosa ECL ni majanga kwa maoni yangu Man Utd inahitaji wachezaji wanne bora kabisa (established players)
1. Beki wa kati (Center back) height lazima izingatiwe.
2. Kiungo mshambuliaji (attacking mildfilder)
3. Mshambuliaji wa kati
4. Kiungo wa pembeni (winger) mwenye speed kubwa na uwezo wa kupunguza walinzi.
Ni shida ndugu yangu...watu wamepaniki hatari...wakati kimahesabu bado timu ina nafasi ya kumaliza top 4...sawa Shitty anahitaji droo, je asipoipata na United ikishinda?kuna baadhi ya Fans wa manure walikuwa wanaombea Mtoke Top 4 ili LVG atimuliwe
Similar hutokea kwa Fans wa Arsenal kuomba mabaya kwa timu yao eti ifungwe kocha labda ataondoka au kutuliwa
Nachojua mimi Timu ilifungwa Unachoambulia ni Stress na Frustrations kwa kwenda mbele na haikusaidii lolote kuombea mabaya club yako
Mmepanic sana humu ndani...
Kui recover ile ERA YA FERGIE sio Kazi ndogo ili mjaribu kulielewa
Bora wewe upo positive....Tutarudi tunachukulia maneno na kejeli zenu kama changamoto.
Acha kupaniki braza...wachezaji gani waliokuwa wakali kabla ya kuwa United waliosajiliwa wakati wa SAF? Mbona husemi wachezaji wakali waliokataa kujiunga na United wakati wa SAF!?! Ngoja nikupe mifano: Kluivert akiwa fomu hatari baada ya WC 1998, alikataa kwenda United baada ya Barća kumtaka. Alan Shearer alimkatalia SAF mara mbili. Di Canio, Dinho na hata Gerard wote waliikataa United chini ya SAF. Na kila mara walivyokataa hao wachezaji wakali, SAF alitafuta wachezaji wa kawaida kama mbadala: Yorke, Cantona, Cristiano, Ole Gunnar n.k., and the rest is history.hapa kuna dalili za u liverpool wachezaji wakali hawataki kuchezea man utd
Yaah!tunapita katika waqt mgumu sana ila hatukati tamaa kuna kipindi cha furaha na majonzi pia.Bora wewe upo positive....
Acha kupaniki braza...wachezaji gani waliokuwa wakali kabla ya kuwa United waliosajiliwa wakati wa SAF? Mbona husemi wachezaji wakali waliokataa kujiunga na United wakati wa SAF!?! Ngoja nikupe mifano: Kluivert akiwa fomu hatari baada ya WC 1998, alikataa kwenda United baada ya Barća kumtaka. Alan Shearer alimkatalia SAF mara mbili. Di Canio, Dinho na hata Gerard wote waliikataa United chini ya SAF. Na kila mara walivyokataa hao wachezaji wakali, SAF alitafuta wachezaji wa kawaida kama mbadala: Yorke, Cantona, Cristiano, Ole Gunnar n.k., and the rest is history.
Hivi kweli nyiye ni mashabiki wa United? Mnaifahamu fika timu mnayoishabikia?