Levy anachotaka ni hela tu,Bale alishaamua kwenda Real Madrid.SAF alishakutana na Pep,Mourinho lakini hawakuja United sidhani kama kikao cha Pochetino na SAF tena public kabisa ndio Pochetino atakuja United
Yani nimeamkia comments nikakutana na Martiaaaaaaaa.....2. Chozi likanidondoka kwa furaha lakini nilivoendelea mbele mhhhh.....
Man U mnatutesa aiseee dah!!!!!
Yap yap ila hiki kipindi cha mpito hiki?vp dada yangu jana pia ulikuwa uvunguni au ulikomaa unaangalia game?jana nimeiona mpaka mwisho kiukweli tuna safari ndefu na huyu mzee angeondoka tu mpira wa sasa unahitaji makocha vijana zile falsafa za kina Vicente dela bosque kamacho na harry mara marcelo lippi zimepitwa na waqt tunaumizana jamani.