Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh
 
Mi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh

Yaani katika pretender mkubwa kule MANU baada ya kuguswa na mcheza wa opposite team hakuna kama Nani. Huwa anajigaragaza utadhani kachomwa kisu halafu jamaa akipigwa na yellow card yeye huyo anainuka na kudunda bila hata kuchechemea, sijui kwanini hawajamshtukia hadi sasa.
 
Mi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh
Kaka NANI alivyochezewa rafu alikuwa hajaona jinsi alivyoumia lakini baada ya kushusha soksi na kuona jinsi alivyochimbika na damu zinavyotoka ilibidi adondoke na kuanza kulia ukweli ile rafu ilikuwa mbaya sana na baada ya game Caragher alienda ku-apologize kwa wachezaji wa Manchester
 
Duh poleni sana mashetani............Mechi hii ni kama vile Simba na Yanga..........hii ndio the Big Match in the UK...wengine tutapiga kelele weeeee lakini mjue kuwa nyie ni Mtibwa (Aresnal), Morogoro stars (Chelsea), Kagera Star (Tottenham)....... nk
 
To be fair, United were missing some key players, like Ferdinand, Vidic, Clattenberg, and Howard Webb..., lol. Huyu wa mwisho mnakumbuka alitokea kwenye FB ya Babel akiwa na jezi ya Manure. Tehe tehe tehe.............
 
Mods tafadhali naomba mbadilishe hiyo picha (haivutii kabisa) juu kwenye mwanzo wa thread na muweke hii (chini). Ahsante.

Ab Tchaz
Bila shaka umesikia ombi letu.
Tunatanguliza shukrani.
 
Mi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh

Gerrad akamfata akawa anamwambia unalialia nini amka wewe unaleta u####e hapa..................!!!!
 
Ab Tchaz
Bila shaka umesikia ombi letu.
Tunatanguliza shukrani.

Ab Titchaz, weshaanza visingizio hawa,...tafadhali wabadilishie bana kabla hawajasema lingine, ha ha ha!!!!
 
Haondoki mtu hapa,wao kule kwetu wanakaaa hata baada ya matanga....sasa wiki hii nzima,naotesha mizizi hapa......mi raha tuu.....wapi Manda na Belinda????

Michelle hamna mechi iliyoniuma kama jana hadi leo nimeamka mambo ya hayapo sawa..Imeshakuwa nuksi sasa,khaa!!..
omboleza nasi basi🙂)ha ha
 
Bado sija recover kutokana na kipigo kile.
 
Nimepita tu kuwapa pole. Ni mambo ya kawaida msijali watani
 
To be fair, United were missing some key players, like Ferdinand, Vidic, Clattenberg, and Howard Webb..., lol. Huyu wa mwisho mnakumbuka alitokea kwenye FB ya Babel akiwa na jezi ya Manure. Tehe tehe tehe.............
Dah huyu wa mwisho ndio wa muhimu zaidi kamanda
 
Aramba aramba tena aaam aaam.....aramba aramba tena aaam aaam.......lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…