Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kwani vipi tena?

Mi nimeona tu mechi imekuwa postponed mpaka saa nne, sielewi kimetokea nini? Ila leo hata waahirishe mpaka saa tisa, tutakesha tu no matter what lazima tugonge nyundo leo...

Aaaaah GGM naona wanapasha sasa

BACK TANGANYIKA

hicho hapo kipande cha tukio lenyewe mkuu
 
Mkuu kwani vipi tena?

Mi nimeona tu mechi imekuwa postponed mpaka saa nne, sielewi kimetokea nini? Ila leo hata waahirishe mpaka saa tisa, tutakesha tu no matter what lazima tugonge nyundo leo...

Aaaaah GGM naona wanapasha sasa

BACK TANGANYIKA
Mashabiki wa Westham wamerishambulia bus lililobeba wachezaji na stuff wa Man utd, imepelekea game kusogezwa mpaka 22:30
 
Huu ndo ujinga niliotoka kuusema hivi punde,

Mechi hii ni muhimu sana kwa United, lakini angalia wacheza wanavyocheza, yaani wanajichezea tu utafikiri hakuna wanalolihitaji. Timu imekosa morali, imekosa uzalendo... haya sasa tuko nyuma kwa goli moja na hapa muda wowote tunaweza kuongezwa kwa mchezo huu..

Van Gal sepaaaaa, aseeeeeeeh

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom