Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Hahaah hata mi naliona hilo mkuu tutaenda kutia aibu tu kuleThe sad truth is that we don't deserve Champions League football next season
Hahaah hata mi naliona hilo mkuu tutaenda kutia aibu tu kuleThe sad truth is that we don't deserve Champions League football next season
Anthony Martial is somehow but the rest agree with you...sijui ndo mbinu za kocha au ujinga wa wachezaji wenyewe.Timu nzima mbovu Mkuu, apart from de gea the rest are useless
Morgan, rojo, Herrera Rooney et al wote hamna kitu, tunaenda mwaka wa tatu huu bado tunatafuta filosofiHahaah hata mi naliona hilo mkuu tutaenda kutia aibu tu kule
Exactly kama timu ndo hii bora tupate uzoefu kwenye FA cup kwanza,The sad truth is that we don't deserve Champions League football next season
Hili goli hataa sija enjoy aisee, inauma sana aisee utadhani wachezaji wa ligi ya jumapili
Acha tu chief, tumebakiza game moja lakini martial ndio kawa mchezaji wa kwanza kufikisha double figure ya magoli EPL kwenye timu yetu kwenye mechi ya 37Mkuu,
Niko baa hapa nacheki hili gemu, goli la kwanza, nimesikitika sana. Goli tulilofunga nimevunja bia kwa hasira.. mpaka watu wananishaa leo imekuwaje, ama mimehamia Man city..!!!
Inauma sana aiseee
BACK TANGANYIKA
Mkuu,