Sasa braza, baada ya misimu hiyo mitatu, what next? Kama unataka kusema kwamba baada ya misimu mitatu timu itakaa imara (baada ya kushinda makombe chini ya mpiga domo), una uhakika gani na hilo? Kwanini timu isitafute mchezaji anayeweza kukaa na timu kwa muda mrefu na kujenga filosofia yake?
Pengine nieleweshe, yaani unataka mpiga domo aje kuipa makombe United kisha aondoke zake?

Herrera akianza huwa napata matumaini ,yote juu ya yote all the best my team,wadau mimi nitakuwa nafatilia comment zenu mtoe updates za kutosha......#GGMU![]()
Line-ups
West Ham
1Randolph
30Antonio
2Reid
21Ogbonna
3Cresswell
28Lanzini
8Kouyaté
16Noble
27Payet
15Sakho
9Carroll
Substitutes
5Tomkins
11E Valencia
14Obiang
19Collins
20Moses
29Emenike
34Spiegel
*****
Man Utd
1de Gea
25A Valencia
12Smalling
17Blind
5Rojo
28Schneiderlin
8Mata
21Herrera
10Rooney
9Martial
39Rashford
Substitutes
4Jones
7Depay
11Januzaj
16Carrick
20Romero
35Lingard
43Borthwick-Jackson
*****
Referee:
Mike Dean
#GGMU
Herrera akianza huwa napata matumaini ,yote juu ya yote all the best my team,wadau mimi nitakuwa nafatilia comment zenu mtoe updates za kutosha......#GGMU
Chakushangaza eti mmiliki wao anawalaumu Manchester badala ya kuwalaumu mashabiki wao,Mashabiki wa WHU wamelishambulia bus lililowabeba wachezaji wa UTD na polisi wameingilia kati kutuliza fujo hizo. Kitendo hichi pia kinailazimu mechi kusogezwa mbele mpaka saa nne na nusu
Chakushangaza eti mmiliki wao anawalaumu Manchester badala ya kuwalaumu mashabiki wao,
Hawana tofauti na wapiga kelele wa anfield,Mashabiki wa Westham ni kama Mashabiki wa Coastal ya Tanga wote wapumbavu
Ofcoz vilaza wa AnfieldHawana tofauti na wapiga kelele wa anfield,
Mashabiki wa Westham ni kama Mashabiki wa Coastal ya Tanga wote wapumbavu
hii game tutatoboa kweli mike dean mshenzi sana huyu
Red au Tuta muda wowotehii game tutatoboa kweli mike dean mshenzi sana huyu