Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Naona tawi limekatikaSpurs ni tawi letu ,hawajawahi kutusumbua
Naona tawi limekatikaSpurs ni tawi letu ,hawajawahi kutusumbua
Anza na pole kwanza basi mbona hivyoKweli kafa mkuu maana mmetandaza soka si mchezo teeehe teeehe
Kweli mmeutendea haki wajibu wenuWajibu wetu ni kushnda kuingia Top 4. Na si kuifanya kazi ya Ranier kuwa gumu.
Hahaha sijui nisemaje lakini ngoja nitangulize pole ..... Mtani pole sanaDohhhh mpka dakika ya 70 nilikuwa na matumaini yaani dakika 6 zimeharibu kila kitu. ......doooihhhhhh!!!' ......still we are the United....please Man U next ni Aston Villa make sure anakufa kwa udi na uvumba.......
Kweli mkuu pole sana .....Anza na pole kwanza basi mbona hivyo
Mgeni mbona msumbufu sana. Ya humu acha humu humuNaona tawi limekatika
Asante sana
Tena ngoja nimuite mkuu Mentor maana najua atakua na vibonzo kazaaMgeni mbona msumbufu sana. Ya humu acha humu humu
HahahahhaSasa huyo wa nini huku. Yeye mwenyewe ana maumivu
Balaa tupuHahahahha
Kweli. Dogo Mensah alivyotoka tu, Spuds ndiyo wakapata nafasi. Na kudos kwa kocha wao kwa ku-spot udhaifu wa Darmian na ku-capitalise kwenye hilo.Van Gaal leo alikuwa spot on na tactics zake, injury ya Mensah ndo iliharibu kila kitu, na hilo siyo kosa la LVG..
Hata angemwingiza Herrera au mchezaji yoyote mwingine, isingesaidia kitu, coz kulia kule kulikuwa kushaharibika..Darmian ndo alikuwa weak link, na nilikwambiaga Nzi kuwa Darmian ni pub defender, 2 goals zote zimetokana na poor marking yake..hayo siyo makosa ya Van Gaal
LVG gets stuff wrong at times, lakin kwa leo hakuwa at fault, reds wenzako wanatakiwa kupunguza kumscapegoat jamaa kwenye games ambazo uzembe ni wa wachezaji wenyewe.
wanajituma sana ila awana uwezo...United wachezaji hawajitumi angalia goal la kwanza leo au la pili ni uvivu wa wachezaji ndio umesababisha kufungwaDoh! Kwa hiyo Sunderland wanacheza vizuri kuliko United?
Wala sina maumivu...pole mkuu.Sasa huyo wa nini huku. Yeye mwenyewe ana maumivu
Kaka hivyo ni visingizio tu and in short ManU timu mbovu kocha mbovuKweli. Dogo Mensah alivyotoka tu, Spuds ndiyo wakapata nafasi. Na kudos kwa kocha wao kwa ku-spot udhaifu wa Darmian na ku-capitalise kwenye hilo.
Braza ni kisingizio kivipi wakati baada ya Mensah kuumia goli zote tatu zimetokea alipokuwa? Na hadi anatoka dogo alikuwa amefanya 100% clearances...hivyo chances za yeye kuzuia crosses na foul zilizosababisha magoli zilikuwa kubwa kutokana na alivyocheza kabla.Kaka hivyo ni visingizio tu and in short ManU timu mbovu kocha mbovu