xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Nitafurahi sana nikikuona hapa baada ya dk 90Naongelea ya leo...
Nitafurahi sana nikikuona hapa baada ya dk 90Naongelea ya leo...
Huyu hata asikupe tabu bado ana maumivu ya jana...anatafuta wenzie wakufarijiana....Nitafurahi sana nikikuona hapa baada ya dk 90
Wenzangu ndo nyie...kwa uoga wq mechi mmechelewa kufika..mfungwe tu maana hakuna namna!!!Huyu hata asikupe tabu bado ana maumivu ya jana...anatafuta wenzie wakufarijiana....
Spurs ni tawi letu ,hawajawahi kutusumbuaWenzangu ndo nyie...kwa uoga wq mechi mmechelewa kufika..mfungwe tu maana hakuna namna!!!
Mngewahi kutoka...London naona wameleta fitna...United walichelewa kwenye foleni kwa masaa 2, hivyo hata muda wa warm up ulipunguzwa..
Unajielewa kweli braza? Delay ya masaa 2, inamaana timu ilikuwa imewahi masaa 2 kabla. Sasa ulitaka wawahi kutoka kivipi tena? Hiyo delay ilikuwa ni unexpected! Pengine jiji la London wamefanya fitna ili kuisadia Spurs kwenye title race.Mngewahi kutoka...
Wajibu wetu ni kushnda kuingia Top 4. Na si kuifanya kazi ya Ranier kuwa gumu.Tafadhali sana jamani msiifanye kazi ya Ranier ikawa ngumu sana hebu wazuieni Totts maana nina kajezi kapya ka-kings power
kwanini mkuu?? mbona kama naona LVG anaenda nayo kibishi!!Hii team bora mara 80,000 apewe Ryan Giggs
Young as frontman hii imekaje?Good game...it needs a goal