Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Young as frontman hii imekaje?
Game ya U21 na chelsea alitumika hivi...
Hiyo sub pia sikuielewa..bora Herrera angeingia..Young hana match fitness kama Herrera...anyway, I can't complain much, our season in EPL ended few weeks ago...sasa angalau tujaribu FA cup..
 
Huyu LVG sikio la kufa ...... Utd hamna kitu no creativity as a team. Bado hata maamuzi ya kumfukuza au kibaki tunashindwa shame on utd. Well deserved win to Spurs ....,
 
Hiyo sub pia sikuielewa..bora Herrera angeingia..Young hana match fitness kama Herrera...anyway, I can't complain much, our season in EPL ended few weeks ago...sasa angalau tujaribu FA cup..
kwa mpira huu wale WHU sijui kama watatukosa hiyo jumatano
 
Usigeneralise hivyo kuhusu mpira chifu...stay positive...ndiyo maana ya kuwa supporter wa timu...hata Sunderland ina washabiki walio positive kuliko hata wewe...#Believe
 
Nzi I feel your spirit, but the issue with LVG he is stubborn just because he used to be top notch coach back on the days.
The Morden football has evolve so much he can't change..... The tactics are just dreadful..... We should just stuck in traffic. LVG and Woodward out
 
ndio ukiona sunderland wanavyocheza sio kama hii team niambie viungo wanashindwa kutoa ata pasi ya goal...dk 90 team inapiga mpira wa kulenga goal mara moja .....team aijitumi kabisa
 
Doh! Kwa hiyo Sunderland wanacheza vizuri kuliko United?
 
Nzi I feel your spirit, but the issue with LVG he is stubborn just because he used to be top notch coach back on the days.
The Morden football has evolve so much he can't change..... The tactics are just dreadful..... We should just stuck in traffic. LVG and Woodward out
Yeah, but that doesn't mean you have to be negative about the team when playing. Despite LvG's failures, when United plays I forget about all of that, and wish the best for the team. There is nothing I can do about LvG not being on the bench as the manager. He is there already, so one has to either live with it and support the team whenever it plays or moan and stay negative cum pessimistic.
 
Van Gaal leo alikuwa spot on na tactics zake, injury ya Mensah ndo iliharibu kila kitu, na hilo siyo kosa la LVG..

Hata angemwingiza Herrera au mchezaji yoyote mwingine, isingesaidia kitu, coz kulia kule kulikuwa kushaharibika..Darmian ndo alikuwa weak link, na nilikwambiaga Nzi kuwa Darmian ni pub defender, 2 goals zote zimetokana na poor marking yake..hayo siyo makosa ya Van Gaal

LVG gets stuff wrong at times, lakin kwa leo hakuwa at fault, reds wenzako wanatakiwa kupunguza kumscapegoat jamaa kwenye games ambazo uzembe ni wa wachezaji wenyewe.
 
Back
Top Bottom