Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea , Arsenal,Liverpool and Manchester United hatuna cha kuchekana msimu huu.Ligi inachukiza.See you next season
 
Kucheza na watu wanaotaka ubingwa kazini bora kucheza na arsenal wanatamani ubingwa hawautaki.
 
Kweli. Dogo Mensah alivyotoka tu, Spuds ndiyo wakapata nafasi. Na kudos kwa kocha wao kwa ku-spot udhaifu wa Darmian na ku-capitalise kwenye hilo.
Chief kweli van gaal sio wa kulaumiwa kwenye hii game? Kuanzia dakika ya 25 lingard hakuonekana, kamtoa rashford kamuingiza young ambaye 1: hana match fitness, pili ni WB lakini kamchezesha kama striker akapambane na akina Toby + vertonghen, martial ambaye mi nilitegemea ndio atakuja katikati baada ya kutoka rash lakini akabaki pembeni,

TFM pengo lake ndio lilionekana baada ya kutoka, lakini sub yake ya kumtoa rash na kumuingiza young acheze mbele iliwafanya hata akina Toby kuwa huru sana maana muda mwingi young alikua pembeni na martial, kwangu Mimi hii game hasa kipindi cha pili tactically van gaal alifeli kabisa + kuumia kwa TFM ndio hali ikawa mbaya zaidi.
 
Just announce Mourinho already and bring back some positivity to the club.
We are in shambles.
 
Na kwa mikakati waliyonayo spurs hasa baada ya kumaliza uwanja wao, sisi tutaendelea kusifia kuwa na vijana wazuri wa academy ila tunamaliza chini yao.
 
Na kwa mikakati waliyonayo spurs hasa baada ya kumaliza uwanja wao, sisi tutaendelea kusifia kuwa na vijana wazuri wa academy ila tunamaliza chini yao.
As salaam aleikhum..!vipi salama mkuu?naomba nikukumbushe kukusanya michango kwa ajili ya kukodi bus la parade ikitokea bahati ya kumaliza TOP FOUR ili tufanye marching mtaa kwa mtaa.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kufirisika na kuwa maskini..kufirisika inaweza kua kwa muda mfupi lakini umaskini ni wa milele...MAN U walihitaji sana kushinda lakini hofu ya kupoteza mchezo ilikua kubwa kuliko hata furaha ambayo wangeipata kama wangeshinda...mpira umepoteza heshima yake Mashetani hawaogopwi tena na watakatifu
 
As salaam aleikhum..!vipi salama mkuu?naomba nikukumbushe kukusanya michango kwa ajili ya kukodi bus la parade ikitokea bahati ya kumaliza TOP FOUR ili tufanye marching mtaa kwa mtaa.
Hahahaaa naona umekuja shekh wangu, hyo top four tutaitoa wapi? Spurs na Leicester ni untouchable, upande wa city KDB, nasri and co wamerudi, labda itokee Mr bean alikatae kombe lake la siku zote
( top four) ndio tutalichukua sisi, otherwise acha tuendelee kushindana na westham licha ya kutumia almost quarter of billions kwenye usajili.
 
Japo na sisi tuna msiba wetu KUPITA HAPA BILA KUTOA POLE ZA MSIBA WENU SIO JAMBO LA KIUNGWANA,

POOLENI SANA 6minutes 3 GOOOOALS!
 
Na kwa mikakati waliyonayo spurs hasa baada ya kumaliza uwanja wao, sisi tutaendelea kusifia kuwa na vijana wazuri wa academy ila tunamaliza chini yao.
Braza, calm down...kwa hiyo mikakati ya Spurs inakutisha? Umeanza kuifahamu Spurs lini braza? Spurs ni timu kama homa za vipindi.

Ila pengine tunatofautiana ushabiki...ila I'm very positive..baada ya SAF kustaafu nikaamua kutokuwa na high expectations kutoka kwa timu..hali haiwezi kurudi ghafla tu pale mtu aliyekaa na timu kwa miaka 27 anapoondoka...mambo yatakaa sawa tu..

#Believe
 
RUMOURS: LOUIS VAN GAAL SPARKS DRESSING ROOM ROW WITH CRITICISMS
Several first-teamers are reported to have taken exception with the manager singling out Marcus Rashford at half time against Spurs, as the game ended in disaster for the visitors
Tensions boiled over for Manchester United as Louis van Gaal caused a White Hart Lane dressing room bust-up, according to The Sun.
The newspaper alleges that several senior players were unhappy with the half-time criticism the manager aimed at Marcus Rashford during the game against Tottenham on Sunday.
Rashford was subsequently taken off and replaced by Ashley Young, who failed to impress as an improvised forward as United collapsed to a 3-0 defeat.
And at full-time, the Dutchman was berated by his charges in a fierce row, and now faces losing the confidence of the dressing room as his future appears even more uncertain.
uploadfromtaptalk1460429472838.jpg
 
Paris Saint Germain striker Zlatan Ibrahimovic is interested in joining Manchester United at the end of the season - but only on the condition that current manager Louis van Gaal leaves Old Trafford, according to Sky Sports.
 
If ronaldo come back to Manchester Van Gaal would play him at centre
back
 
Back
Top Bottom