everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hahahahaha mtani nipo mie die hard fan....lolHahhaaaa au umeuza akaunti nini?
Pole sana mtani tatizo lenu litaisha tu
Hahahahaha mtani nipo mie die hard fan....lolHahhaaaa au umeuza akaunti nini?
Pole sana mtani tatizo lenu litaisha tu
Apart from the class of 92 ni world class player gani ambae academy yetu imeweza kuzalisha? ukiachana na pogba ambaye hatujamfaidi.
Only mourinho can save us.Duh...hili nalo neno kiongozi...
Unashinda kwa mchempuko halafu unajiita die hardHahahahaha mtani nipo mie die hard fan....lol
Mbona unapenda kushinda kwetu. Nenda kwenu basi. Napita tuUnashinda kwa mchempuko halafu unajiita die hard![]()
![]()
Teeehe msalimie @cuteb
Teehee teeehe kwenu kuna juithiiiMbona unapenda kushinda kwetu. Nenda kwenu basi. Napita tu
Kwenu kuna juice ya nyanya chungu au?Teehee teeehe kwenu kuna juithiii
Maji tu mkuuKwenu kuna juice ya nyanya chungu au?
Hata Hayo yanakutosha sanaMaji tu mkuu
Hahahahaahahahah safiii my kaka weee kule kwao hakunogi nyumba ya jirani Tamu....Mbona unapenda kushinda kwetu. Nenda kwenu basi. Napita tu
Hahahahaahahahah safiii my kaka weee kule kwao hakunogi nyumba ya jirani Tamu....
ndo kutwa anashinda hukuHahaha sawa nitakukamata kule kwa screenshotMchepukoni nako siko mtani weee nifuatilie tu utaniona kina PNC 1 hawataki wageni wanafikiri jukwaa ni Lao peke Yao.....lol

Kwa jirani Kuna juithiiii tu vingine vyote vibaya teeeeeheHahahahaahahahah safiii my kaka weee kule kwao hakunogi nyumba ya jirani Tamu....
We mbona unashinda kwetu kisa Kuna flat screen, lakini sikusemi kwenu?![]()
ndo kutwa anashinda huku
Sasa mbona unatoa siri yangu.Kwa jirani Kuna juithiiii tu vingine vyote vibaya teeeeehe
We mbona unashinda kwetu kisa Kuna flat screen, lakini sikusemi kwenu?
Teehee teeehe mkinunua flat screen nitaiba remoteSasa mbona unatoa siri yangu.
Ukija kwetu sitakupa juice tena
Halafu vyote vizuri kwetu . Na sisi soon tutanunua flatscreen
Mgeni una fujo sana sasaTeehee teeehe mkinunua flat screen nitaiba remote