Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah bora tusicheze champions league lkn Rooney acheze kwasababu yeye ni legend.... Yule dogo Rashford na Martial wamejenga maelewano makubwa sana pale mbele,wote ni watu kukimbia kukimbia kutafuta nafasi,wana kasi na wana njaa.Sioni wapi Rooney anafit pale mbele,muda wake ushapita. Hata kwenye kiungo hana nafasi....utamweka Herrera bench umchezeshe Rooney?utamweka Mata the brain bench umchezeshe Rooney? Nilitamani Rooney aendelee kuuguza jeraha lake mpaka mwisho wa msimu wa ligi,akipona tu na safari ya Chinese league au MSL imeiva. Kapona mapema mno,hii si habari njema kwa Manchester united na harakati zetu za kuipoka Manchester city nafasi ya kucheza champions league. Rooney ameisha kiwango, kumbukeni Rooney alipokuwa akicheza sambamba na Martial, Martial mara nyingi alionekana kama ametengwa hivi,hii ni kwasababu ya style ya uchezaji wa Rooney.
Rooney anajua kucheza mpira hatuwezi kumueeka nje ya united legend na bado yuko mzima
 
Nafikiri kauli za MOU kutokuza vipaji vya watoto ni world wide na yeye ameshaisikia na kinachomtenganisha MUFC na yeye ni hiyo philosophy...lakini tukumbuke pamoja na mafanikio aliyonayo ila this time Mou hana bargaining power kama hapo zamani yupo tayari kuabandon his old philosophy ili mradi tu atue kwenye his dream team of all times...
Na tukumbuke kila team inasera zake husipozifata huwezi dumu...it's Manchester style kuibua watoto even Mou knows that..
 
Apart from the class of 92 ni world class player gani ambae academy yetu imeweza kuzalisha? ukiachana na pogba ambaye hatujamfaidi.
 
Apart from the class of 92 ni world class player gani ambae academy yetu imeweza kuzalisha? ukiachana na pogba ambaye hatujamfaidi.
1459857822427.jpg
 
Back
Top Bottom