Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Achana na ndoto mkuuKweli bhana. Naitafuta top 4 ujue mdogo mdogo
Achana na ndoto mkuuKweli bhana. Naitafuta top 4 ujue mdogo mdogo
Na wewe achana na ndoto ya kuchukua Europe cupAchana na ndoto mkuu
Mkuu hii si ndotoNa wewe achana na ndoto ya kuchukua Europe cup
Vijana wamemtoa kimasomaso huyu mzee kwa jukwaa kupewa jina lake na ushindi juu.
TeamWazee wanachukiaShughuli ilianzia kwa mata akampa yule mtoto na yule mtoto akausigina kwa mtoto mwenzie na yule mtoto akapiga cross kwa mtoto mwenzie na yule mtoto akafunga.
Blind ndiye alistahili! Alimweka Lukaku mfukoni..
Braza, nenda kajifunze vizuri kuhusu timu unayofikiri unaishabikia. Yaani unasema suala kukuza vipaji siyo philosophy ya #ManUnited? Unaongelea kuongezeka kwa watazamaji uwanjani, huku ukisahau miaka 10 iliyopita OT ndiyo uwanja unaongoza kwa kuwa na 'full stadium' mara kwa mara. BTW kuna mpango wa kupanua OT ili iwe na 80k seats capacity. Toka lini mauzo ya jezi yamepungua kiasi kwamba ati Maureen ndiyo aje kuyaongeza? Alivyokuwa Rent boys mauzo yao yalipita ya #ManUnited hata baada ya SAF kuondoka?mm kuna kitu nnakihis khs Saf kw Mourinho, me nafkir bodi ya club inakuw inatofautiana wao kw wao sabab Saf atak jamaa aje kw kuhofiw kufunikw, maana jamaa akitia team Utd kuna vitu ving tutanufaika navyo, km kuuza jez na thaman ya club kupanda kw kuuza hisa za club mara dufu tofaut na sasa amabapo inasemekana kuw baadh ya wanahisa bado wameshikiria hisa kuhofia mwenendo wa club ktk miaka ya karbu tang Saf hastaafu... kuna kitu kipo nyuma ya pazia khs jamaa maana km atatua msim ujao, tutegemee thaman ya club kuw juu na watazaman kuongezeka ktk kila mech zetu, swala la kukuza vipaj me cdhan km n karba ya Utd kiualisia me nnachokijua n kwmb man Utd inawasajir wakiw wadogo na kuwaendeleza kwny academic yao... tumkaribishe Mourinho kwny club yetu wana Man Utd ili tuendelee na ile styl yetu ya kaunta atak mpira wa moja moja sio typ yetu ndung zangun uo tuwaachie arsenal na barca... Sisi kwetu iwe ushind kwnz mbwembwe baadae... karbu Jose. G. G. M
Mou hana cha kumfunika SAF bado sana.. Man united haitauza jezi kwa sababu ya uwepo wa mourinho timu imeshajiestablish kwenye ramani ya soka duniani kwa sasa.. Suala la kukuza vipaji ni muhimu kwa klabu kwa mfano hawa vijana waliopo united kwa sasa mfano mzuri ni lingard ambao wakiwa kwenye peak watauzwa kwa bei nzuri mapato yanaongezeka. Mourinho ni kocha mwenye ready made players ambao atawachosha baada ya misimu 2 wanakua magarasa hasara kwa klabu mtazame hazard anavyopigana kuinua kiwango chake ambacho alidaiwa kuwa bora kuliko cr7 na kocha unaedhani "atamfunika SAF" nina wasiwasi na ushabiki wako kwa unitedmm kuna kitu nnakihis khs Saf kw Mourinho, me nafkir bodi ya club inakuw inatofautiana wao kw wao sabab Saf atak jamaa aje kw kuhofiw kufunikw, maana jamaa akitia team Utd kuna vitu ving tutanufaika navyo, km kuuza jez na thaman ya club kupanda kw kuuza hisa za club mara dufu tofaut na sasa amabapo inasemekana kuw baadh ya wanahisa bado wameshikiria hisa kuhofia mwenendo wa club ktk miaka ya karbu tang Saf hastaafu... kuna kitu kipo nyuma ya pazia khs jamaa maana km atatua msim ujao, tutegemee thaman ya club kuw juu na watazaman kuongezeka ktk kila mech zetu, swala la kukuza vipaj me cdhan km n karba ya Utd kiualisia me nnachokijua n kwmb man Utd inawasajir wakiw wadogo na kuwaendeleza kwny academic yao... tumkaribishe Mourinho kwny club yetu wana Man Utd ili tuendelee na ile styl yetu ya kaunta atak mpira wa moja moja sio typ yetu ndung zangun uo tuwaachie arsenal na barca... Sisi kwetu iwe ushind kwnz mbwembwe baadae... karbu Jose. G. G. M