Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Braza, nenda kajifunze vizuri kuhusu timu unayofikiri unaishabikia. Yaani unasema suala kukuza vipaji siyo philosophy ya #ManUnited? Unaongelea kuongezeka kwa watazamaji uwanjani, huku ukisahau miaka 10 iliyopita OT ndiyo uwanja unaongoza kwa kuwa na 'full stadium' mara kwa mara. BTW kuna mpango wa kupanua OT ili iwe na 80k seats capacity. Toka lini mauzo ya jezi yamepungua kiasi kwamba ati Maureen ndiyo aje kuyaongeza? Alivyokuwa Rent boys mauzo yao yalipita ya #ManUnited hata baada ya SAF kuondoka?
Kwa ujumla nina mashaka na 'ushabiki' wako...
Glory hunters ni wengi sana
 
Nitafurahi sana kama Manchester united haitamchukua Mourinho,hafai kabisa kuwa kocha wetu,kwa sasa hivi timu inaelekea kuwa ktk mstari sahihi,wachezaji wengi kutoka academy yetu wanaandaliwa kuingizwa ktk kikosi cha kwanza na ni wazuri sana,hawa ndio watakaotengeneza uti wa mgongo wa Manchester united ijayo, naiona class of 92 ikirejea Manchester. Kitendo cha Mourinho kuja kitaashiria kuvuruga mipango yote hii ya ujenzi wa Manchester united mpya. Mourinho anapenda kufanya kazi na wachezaji wenye umri mkubwa kuliko makinda. Hakika hatufai kabisa.
 
Mourinho anapenda vijeba......
 
Braza, nenda kajifunze vizuri kuhusu timu unayofikiri unaishabikia. Yaani unasema suala kukuza vipaji siyo philosophy ya #ManUnited? Unaongelea kuongezeka kwa watazamaji uwanjani, huku ukisahau miaka 10 iliyopita OT ndiyo uwanja unaongoza kwa kuwa na 'full stadium' mara kwa mara. BTW kuna mpango wa kupanua OT ili iwe na 80k seats capacity. Toka lini mauzo ya jezi yamepungua kiasi kwamba ati Maureen ndiyo aje kuyaongeza? Alivyokuwa Rent boys mauzo yao yalipita ya #ManUnited hata baada ya SAF kuondoka?
Kwa ujumla nina mashaka na 'ushabiki' wako...
Post yako kuhusu kukuza vipaji imenikumbusha kuna picha moja wameisha kuwa watu wazima wamepiga jeans zao wanatembea mwanzo alikuwa Beckham kisha nick butt halafu Scholes na naville brothers mwisho giggs.Hata hawa kina fosu na Rashford wametoka wapi kama hatujawapika wenyewe?kweli jamaa amechemka
 
Tatizo la morinho ni moja ubabu mwingi pale wale watoto
Wakina rash ford, lindergard , fosu Mensa, watakaa benchii hawatapata namba ataanza usajili wake
Mara nasikia anamtaka Diego Costa
Simiujiza hyooo
 
Braza, nenda kajifunze vizuri kuhusu timu unayofikiri unaishabikia. Yaani unasema suala kukuza vipaji siyo philosophy ya #ManUnited? Unaongelea kuongezeka kwa watazamaji uwanjani, huku ukisahau miaka 10 iliyopita OT ndiyo uwanja unaongoza kwa kuwa na 'full stadium' mara kwa mara. BTW kuna mpango wa kupanua OT ili iwe na 80k seats capacity. Toka lini mauzo ya jezi yamepungua kiasi kwamba ati Maureen ndiyo aje kuyaongeza? Alivyokuwa Rent boys mauzo yao yalipita ya #ManUnited hata baada ya SAF kuondoka?
Kwa ujumla nina mashaka na 'ushabiki' wako...
Unaweza kuta ni mamluki tu huyo mkuu hizi kauli ni za kwenye vibanda umiza ... hahaha kuna vitu ni zaidi ya comedy Mou kumpita Sir Alex teeehe teeehe basi na mimi nitahamia huku
 
Umemsahau Boswich Jackson na Varela...imagine aje mtu kuvunja yote hayo na aanze upya tena

huo utakuwa ni bonge la uwendawazimu
Anatakiwa mtu wa kuendeleza hii timu sio mtu aje aanze kununua wachezaji wa 50m pounds washajichokea hawana motivation yoyote!
 
Duh jana ilikuwa raha ndani ya raha Mensah ana kiwango cha juu sana namna alivyoingia ndani ya box na kutoa cross ya uhakika ilikuwa ni burudani ya week.

Narudia tena na tena siku Mourihno akitia pua Man sahau hivi vipaji vyote.
 
Pamoja na kuwa simkubali LVG ila kumwaleta hawa watoto nampa pongezi sana.....Martial,Rashford,Mensah,Lindgaard ni raha sana kuwatazama uwanjani.

Na dogo Yule lege lege Cameron. Kiukweli natamani tupate kocha ambaye ataweza kuwautilize hawa madogo. Nina wasiwasi sana na Mou.
 
Duh!jana weekend yangu ilikuwa murua sana kwanza nyumbani jangwani(yanga)kiisha wale mbweha wakafanya yao ili kuhakikisha wale mabingwa wa mioyoni wazidi kukata tamaa kisha nikamalizia pale old Trafford ndo kabsaa.
 
Back
Top Bottom