Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

uploadfromtaptalk1459702699247.jpg
 
mm kuna kitu nnakihis khs Saf kw Mourinho, me nafkir bodi ya club inakuw inatofautiana wao kw wao sabab Saf atak jamaa aje kw kuhofiw kufunikw, maana jamaa akitia team Utd kuna vitu ving tutanufaika navyo, km kuuza jez na thaman ya club kupanda kw kuuza hisa za club mara dufu tofaut na sasa amabapo inasemekana kuw baadh ya wanahisa bado wameshikiria hisa kuhofia mwenendo wa club ktk miaka ya karbu tang Saf hastaafu... kuna kitu kipo nyuma ya pazia khs jamaa maana km atatua msim ujao, tutegemee thaman ya club kuw juu na watazaman kuongezeka ktk kila mech zetu, swala la kukuza vipaj me cdhan km n karba ya Utd kiualisia me nnachokijua n kwmb man Utd inawasajir wakiw wadogo na kuwaendeleza kwny academic yao... tumkaribishe Mourinho kwny club yetu wana Man Utd ili tuendelee na ile styl yetu ya kaunta atak mpira wa moja moja sio typ yetu ndung zangun uo tuwaachie arsenal na barca... Sisi kwetu iwe ushind kwnz mbwembwe baadae... karbu Jose. G. G. M
 
tupo vizuri hasa huyu dogo rashford kiwango kinaongezeka kila kukicha martial ni moto kwa sasa pale man ukimwondoa de gea pia blind anatusev sana pale nyuma

natamani van gal amalizie tu mkataba wake msimu ujao nione hawa makinda watakuwa na moto mkali kiasi gani

man city ni kama tumeshamshusha tunamnyemelea arsenal point tano siyo nyingi ukilinganisha na mechi zilizobakia

glory glory manchester united
 
Back
Top Bottom