Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
So what are your wishes?Kufundisha utd kwake ni kama ngekewa, since SAF era jamaa anaota kuja kutumia OT kama uwanja wa nyumbani, sidhani kama ishu ya top itakua itahusika sana hapo
According to many reliable sources jamaa inaonekana kama tutakua nae msimu ujao (hasa endapo hili bepari la kidachi likishindwa kutupeleka top four) and our happy days will be backkkkkkk,
(a)mkose Top four? kwa expense ya kumchua Mou
au (b) Muingia Top four abakie LVG
hii multiple choice chagua moja..
Alafu bepari linawaingiza Top 4 hili kama masikhara masikhara