RvP, chicharito wameondolewa na van gaal, kwann tusimlaumu?Mkiachana na lawama za lvg,nafikiri man utd mnakosa wale top strikers upfront ,wale strikers ambao wanaweza kulazimisha kitu na kikawa,martial & rashford bado ni vijana wadogo sana wanaita muda kujifunza kwa wakubwa zao,mnakosa kiongozi vilevile uwanjani.
Jana tume droo chifu, au mwenzetu memory yako mafaili yamejaa?Vipi walivyokuja jana mmewafanya nini ndugu yangu?
Hatua kwa hatua JOGOO anamparua mfugaji.
View attachment 330632
View attachment 330633View attachment 330634View attachment 330635
Nikutakie kila la heri kwenye mihangaiko yako nakukumbusha ukipata bahati ya kumaliza nafasi ya NNE safari hii andaa gari la parade kuzunguka jiji la Manchester kushangilia pia jitahidi kuvumilia KILA NYUMBA LAZIMA ITOE MAITI tunatofautiana muda tu.
Hivi unajua RVP hata huko alipo anapigwa bench?RvP, chicharito wameondolewa na van gaal, kwann tusimlaumu?
Kwa hiyo draw imekusogeza wapi mkuu maana kumbukumbu zinaonyesha ulisema utampiga Jogoo Old Toilet ili usonge mbele au?memory yangu iko vizuri ila nashangaa leo unakuja kupiga shangwe ya draw kana kwamba imekusaidia.Jana tume droo chifu, au mwenzetu memory yako mafaili yamejaa?
Najua baada ya game yenu na Everton majukumu yataongezeka ila kwasasa furahia likizo uliyoipata....Kwa hiyo draw imekusogeza wapi mkuu maana kumbukumbu zinaonyesha ulisema utampiga Jogoo Old Toilet ili usonge mbele au?memory yangu iko vizuri ila nashangaa leo unakuja kupiga shangwe ya draw kana kwamba imekusaidia.
Mkuu uwepo wake tu na uzoefu wa ligi ungesaidia sana hawa akina martial na watoto kama W.Kean na akina rashford kujifunza kitu, kwa upande wangu van parsie angekua ni back up nzuri kuliko hata rashford ( sina maana rashford ni m-baya but he is too young and inexperienced)Hivi unajua RVP hata huko alipo anapigwa bench?
LVG alaumiwe kwa kushindwa kuwatumia wachezaji waliopo sio aliowauza,wachezaji wengi aliowauza huko walipo hawafanyi vizuri
Chifu, vipi kuhusu haja ya ku-offload wachezaji wenye mishahara mikubwa baada ya kutumia pesa nyingi kusajili? Ungeweza vipi kumbakiza RvP kama back-up huku akilipwa pesa nyingi kuliko 1st elevener?Mkuu uwepo wake tu na uzoefu wa ligi ungesaidia sana hawa akina martial na watoto kama W.Kean na akina rashford kujifunza kitu, kwa upande wangu van parsie angekua ni back up nzuri kuliko hata rashford ( sina maana rashford ni m-baya but he is too young and inexperienced)
Kila kocha huwa ana striker number moja,RVP alisajiliwa na SAF na ndio alimfanya main striker na SAF angekuwepo angemuuza Rooney huenda RVP angekuwepo.Alivyokuja Moyes mambo yakabadilika Rooney akawa main striker na RVP alisikitika SAF alivyostaafu na kuna kipindi alikuwa analalamika wachezaji wenzake hawampi nafasi + majeruhi hali ikawa mbaya zaidi.LVG alivyokuja alimwambia RVP striker no moja ni Rooney yeye atakuwa striker no 2. watu walidhani sababu ni mdachi mwenzie angempa priority hata u-kapteni walidhan angempa RVPMkuu uwepo wake tu na uzoefu wa ligi ungesaidia sana hawa akina martial na watoto kama W.Kean na akina rashford kujifunza kitu, kwa upande wangu van parsie angekua ni back up nzuri kuliko hata rashford ( sina maana rashford ni m-baya but he is too young and inexperienced)
Hili ndio jibu la swali langu kua draw na Liva imewasaidia nini?kweli tumevurugwa khaaaa na wewe usisahau gari la parade jitahidi uwakumbushe na wenzio.Najua baada ya game yenu na Everton majukumu yataongezeka ila kwasasa furahia likizo uliyoipata....
Mnatakiwa mshinde hii game otherwise UCL itakuwa Mtihani kweli kweliLeo ndio Leo
#GGMU
Leo ndio Leo
#GGMU
Wala usiwe na hofu Leo tunashinda kabisa ndugu kashengo
Acha hizo mkaanga sumu basi. Najua sababu unataka kubwa juu yetuNilikua sitaki kuku-mention wala kuku-quote ila imenibidi mimi naomba nikuombee ufungwe tu wala usiniulize sababu
Teeehee teeeh tutajua tu mwisho wakeAcha hizo mkaanga sumu basi. Najua sababu unataka kubwa juu yetu