Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe na wenzio mtaanza kumtukana Kolo,Skertel,Sakho na kocha coz hamtaamini kitakachowapata....Hivi umesahau LVG IS 4-0 VS Liverpool?!!
LVG 4-0 kombe la mbuzi
Hiyo ni UEFA glory nakupiga kama mtoto!!
 
Lazima useme hivyo kwasababu mara ya mwisho umechukua kombe la ligi england BABA YAKE RASHFORD ALIKUWA NA MIAKA 12 SASA SIJUI RASHFORD ALIKUWA NA MIAKA -VE NGAPI LABDA -36!!!!!
Kwani nyie mna dalili ya kuchukua EPL hivi karibuni?Your time is over mkuu!Kwa makocha hawa akina LVG na mipango hii nakuhakikishia YESU atarudi hamjachukua sio tu EPL bali hata fainali za FA na Capital One nyie hamuingii
 
Yani hii mechi yenu sijuu natamani nani ashinde ila kama nawaona mkimtukana Rashford ama Depay hiyo siku.
 
JS84059143.jpg
Th Name Huyu shem wako kwa kushangilia magoli yupo vizuri hatari
 
Th Name Huyu shem wako kwa kushangilia magoli yupo vizuri hatari
Pacha Jana nilikuwa naangalia kny youtube game tatu hizi za mwisho za Man U,Depay aiseeee Shemeji alisakata kabumbu acha kabisa kuanzia Ile Mityjland dooohh Depay kabadilika sana akiendeleza hii spirit na zaidi kila siku tutacheka.....shem Ana comeover......lol

Rashford uwiiiiii hii ni hazina sana haka kababy katuzwe sana kata tufa sana kanajua kutumia vizuri opportunity.......


Mata is anything that occupies a space kwa Norwich alinibariki sana.

Yaani ukitaka uinjoi game na ujue mambo vizuri uje ufanye replay aiseee unainjoi sana,siku ya game yenyewe presha ya Magoli inakuwa juu sana kiasi huoni utamu na ubaya uko wapi zaidi.


Pale mbele tu LVG apafanyie kazi tutacheka sana,halafu sasahivi defense yetu siyo tena kiviiile km kipindi fulani hapo Juzi Kati DDG alikuwa anapumzika,aiseeeee DDG anafanya kazi kubwa sana jamani acheni tu RM washindwe na walegee wasimsumbue tena.
 
Upcoming games.....

vs Wes Brom (sunday-away)EPL
vs Liverpool(thursday-away)EL
vs West Ham(sunday-home)FA
vs Liverpool(thursday-home)EL
vs Man City(saturday-away)EPL

Tight and tough fixtures...............
It's my hope tutavuka salama.......tutafika tu Nchi ya ahadi!!!!
 
Najua sasa mnaya ogopa sana MAJOGOO!CL football mwakani lzm
everlenk cute b RRONDO ,Ntuzu
Eeeee Mwenyezi Naomba unipe nguvu ya kumuhudumia vyema Huyu Mteja wangu,ibariki kazi ya mikono yetu maana Mteja Kwetu ni mfalme......karibu sana Mteja wetu na amini umefika Sehemu sahihi na pasipo Shaka utazipenda sana huduma zetu,tukuhudumie na goli 5 au 6????
 
Back
Top Bottom