Mbu
Acha kunisingizia ustaadh! bado nko na matumaini ya 75% kuondoka na droo apa na asilimia 50% ya kushinda.
kama mwanachama ninayelipia membership fees and whatnot nategemea performance ya kueleweka sio half assed performance....mnh, this is so sad kwakweli,....pole sana kaka.
Labda hii picha ya 1999 itakukumbusha your past "come backs"...
...Cheer up, it's only agame for Christ Sake...ha ha ha!
Vipi mkuu mbona unaleta Ngebe mimi nipo hapa tangu alifu ... .... ... kama unaniona hapa ujue nina time kwenye hii game .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huwa sikimbii vimburu .... ....
Si unajua siku zote adui mwombee njaa!The world is against Man utd today!
Mbu
Acha kunisingizia ustaadh! bado nko na matumaini ya 75% kuondoka na droo apa na asilimia 50% ya kushinda.
Jipe moyo Mkuu maana mpira ni dakika 90 chochote kile kinaweza kutokea.
Si unajua siku zote adui mwombee njaa!The world is against Man utd today!