rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
too far gone to care!
Siwezi kuwacheka ni vigumu kupata kocha wa kuwarudisha juu kama babu Fergie alivyokuwa. Huyo Mourinho anayedhaniwa kuchukuwa timu atafanya hivyo(kuwarudisha kugombania ubingwa) kwa miaka 2 hadi 4 then ataleta ubovu wake wa kihistoria. Mourinho hatoweza kuchezesha entertainment, attacking football kama aliyofanya Sir Alex, hilo mlikubali. Arsenal tutawafuata mlipo muda si mrefu, Wenger atakuwa ana miaka si chini ya 3 aondoke.