Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
kashengo kale katimu ulikosema kameanzishwa sijui 1995 kalikotutia aibu tumekaweka mahala pake. 5-1 tena kwa kupanga vitoto ambavyo havijawahi kucheza senior level. Sasa jaribu na nyinyi kupanga vitoto tena vs Hull City muone kitakachowapata.
Vile vile mkishindwa kuwatoa Barcelona(kwangu mimi bado mnanafasi ingawa kocha wenu kasharusha taulo jeupe) mnaweza kuwa mnatuangalia tukicheza siku za Alhamisi maana mtakuwa hamna mechi katikati ya wiki.
Ingekuwa ni dharau ya mwaka kale katimu kuwatoa sio siri mi kama arsenal sijafikia kuwa na roho mbaya kiasi hicho, mpotee ila walau msipoteze mazima maana ushindani na utani utakuwa hakuna kbs
Forget about UCL huwez kwenda kushinda 3-0 camp nou, lets focus on Sunday's game
what is your prediction?