Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na yule beki wako Boswich-Jackson kaumia

Hivi jumapili nani wanacheza beki za pembeni ooopss

Karibu emirates leo namgalagaza Barca, hamtaamini macho yenu leo

Thou sisemi tunawatoa in Two legs
hii mechi lazma niangalie ingawa kesho yake nitasinzia kazini........
 
Hahahahahaa ulivyojihami aiseeeee!!!! Kila la heri best........
 
hii mechi lazma niangalie ingawa kesho yake nitasinzia kazini........

karibu emirates uone mpira wa maana.....na tukimpiga barca utakavyonuna kama nakuona vileee

khe khe khee kheeeeeeeee!!!!!
 
Nanuna kweli tena si kitoto..........yani nitanuna haswaaaaaa......nitainunia hadi kazi yangu aitaenda job kesho
 
Nzi na Belo nasikia kina Charlton, Gill na Fergie mwenyewe wapo against na suala la Mourinho kutake over utd, inaonekana wanampigia debe Giggs behind the scenes..

imekaaje hii Aisee?
Mimi sijawahi kuwa shabiki wa mpiga domo! Uwa nasema jamaa ni mjanja mjanja tu, siyo mwalimu wa mpira. Sasa kwa wachezaji waliopo United sasa, anahitajika mwalimu wa mpira ili awafunde vijana. Maureen akienda United ina maana kuna over haul itatokea tena. Hiyo inaweza ikawa kama bahati nasibu, kufanikiwa ama kusubiri tena miaka miwili ya kujenga timu. Timu ya sasa inahitaji tu kujaziliziwa kwenye maeneo machache (kama backline na forwadline) kisha inakuwa imekaa vyema.

Anyway, maamuzi yote yapo kwenye bodi. Ngoja tuone wataamua nini.
 
Jamani mmepita kutoa pole huko mtaa wa pili??!! Hali nzuri huko kiasi kwamba msiba hausafirishwi wanazika pale pale Emirates!
 
Fans wengi wanaomtaka mou ni matokeo oriented (japokuwa wana point) kiasi fulani kuvumilia anguko linaloonekana wazi wazi na ulikuwa Timu bora yakata Moyo wa chuma

Lakini kama ni kweli media wanachoripoti Mou ni next coach pale OT

ila media zinaweza kuwa zinatengeneza Rumours na zinakuwa ngumu kuzikataa kwa kuwa Bodi iko kimyaaa hakuna denial wala confirmation yeyote

Ila bado kwa kocha yeyote atakayekuja mna kama another Two years of building if am honest with you
 
Gem ya leo, kuna mambo nligundua…

- bora Welbeck aliekatwa kichwa kuliko Giroud mwenye kiduku.
- Bora Ox aliekua anachechemea kuliko walcott mwanariadha.
- Bora coq kipofu kuliko flamin anayeona
- Bora LVG mwenye notebook busy anaandika kuliko wenger aliyesimama na kufanya sub.
- Flamin ni jembe linalolima kuwili, kote kote analima hata kama hajui atavuna nini
- Ozil aliomba kabla yakuingia uwanjan, ila kabla yakutoka uwanjan alimtusi Alves.
- Sanches mwandiko wako mbaya ila unasomeka.
- Ramsey mvuvi mwenye nduano katikati ya bahari, ila kila ukivuta ndoano umenasa chura.
-Barca ni team ila arsenal ni wacheza mpira
- kufunga ni kipaji, ila kwa messi ni fani
- Kweli vya bure gharama, flamin kathibitisha, coz alikuja bure, na ataondoka bure
- Wenger ni mwalimu mzuri sana kama utaamua kujifunza kutokana na makosa anayoyafanya.
- Emirate ni uwanja wa Arsenal ila hata Barca walitumia kama wamekodisha.

----Washabiki wa Arsenal tunaishi kwenye nchi ya vipofu, japo mfalme wetu (mzee wenger) ni chongo-----

Asanteni kwa kunisikiliza

[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Jamani mmepita kutoa pole huko mtaa wa pili??!! Hali nzuri huko kiasi kwamba msiba hausafirishwi wanazika pale pale Emirates!
Nashkuru nimepita huko na kuna mtu kaipokea pole yangu kiungwana kabisa hali ilikuwa tete tulikuwa tunajua jirani anapigwa tatizo lilikuwa idadi tu.
 
Gem ya leo, kuna mambo nligundua…

- bora Welbeck aliekatwa kichwa kuliko Giroud mwenye kiduku.
- Bora Ox aliekua anachechemea kuliko walcott mwanariadha.
- Bora coq kipofu kuliko flamin anayeona
- Bora LVG mwenye notebook busy anaandika kuliko wenger aliyesimama na kufanya sub.
- Flamin ni jembe linalolima kuwili, kote kote analima hata kama hajui atavuna nini
- Ozil aliomba kabla yakuingia uwanjan, ila kabla yakutoka uwanjan alimtusi Alves.
- Sanches mwandiko wako mbaya ila unasomeka.
- Ramsey mvuvi mwenye nduano katikati ya bahari, ila kila ukivuta ndoano umenasa chura.
-Barca ni team ila arsenal ni wacheza mpira
- kufunga ni kipaji, ila kwa messi ni fani
- Kweli vya bure gharama, flamin kathibitisha, coz alikuja bure, na ataondoka bure
- Wenger ni mwalimu mzuri sana kama utaamua kujifunza kutokana na makosa anayoyafanya.
- Emirate ni uwanja wa Arsenal ila hata Barca walitumia kama wamekodisha.

----Washabiki wa Arsenal tunaishi kwenye nchi ya vipofu, japo mfalme wetu (mzee wenger) ni chongo-----

Asanteni kwa kunisikiliza

[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Naona kipigo kimekulevya hata hujitambui uko wapi!
 
Tumetumia £250+ mill kwenye usajili, lakini bado tunawatumia watoto U21/19 na MD wawili kama ndio defence yetu,
 
Back
Top Bottom