Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna tetesi kwamba martial nae kaumia
Kama ni kweli, it means tumebakiwa na ford pekee striker ambaye yupo fit
 
Vipi Martial na Smalling pia wameumia au mnawahifadhi kwa ajili ya jumapili? LVG na jopo lake wamesha give up ushiriki wa Europa League ama ?
 
Huyo dogo aliyewafunga tena atapandiwa dau wajinga wajinga Summer.
 
Inaweza kuwa siku ya kufa nyani.... Mata ameshindwa kufunga penati...
 
Back
Top Bottom