FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Keyboard warrior nakuona unapambana... Kama juha hiviHivi kumbe nafasi ya 5 kwenye ligi yenye timu 20 ni mid table? Mh! Hii ni namna ya hisabati mpya?!?
Kwa upande mwingine, epukeeni 'boosters' muwe na akiba ya maneno jamani..