Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sure tuone kipi kinatokea maana leo Fella baada ya watu kumpiga madongo kibao kocha leo hayupo hata kwenye bench
Fellain ni mchezaji muhimu sana kwenu

Ana bully sana Opponent Midfielders

Na kila akitolewa Timu pinzani huanza kuwa dominate katikati

Fellain ni scape goat ya bad results kwa manure but jamaa anajituma sana...

watu wa mtaani wanasema "ANAKATA UMEME"
 
Umeongea point kashengo
Fella ni mtu mmoja mzuri na muhimu sana katika ku haribu mipira ya wapinzani hasa zaidi timu zinazopendelea ku dominate possession. Huonekana kucheza rafu nyingi (kinachowakera wengi) sababu anatumia zaidi nguvu na urefu wake ila ni mchezaje anayeongeza nguvu pale kati japo sijui kwanini fans wengi huwa hawapendi kumuona akianza labda ya hofu ya timu kucheza pungufu iwapo atachezea kadi mbili maana kila akicheza nahisi hata referees huwa wanaliandika jina kabisa wakijua hatokosekana kwenye booking
 
Fans ni watu wa kukariri

Fellaini ana mchango mkubwa sana game zifuatazo

Manure Vs City japokuwa Mlidroo Kiungo ya City ilikufa kbs

Fellaini Vs Liverpool Akina Lucas, Henderson wote walikuwa wanarukaruka na istoshe goli lilisababishwa na Rebound ya Kichwa alichopiga

Fellain vs Newcastle hii game aliupiga sanaaa

Fellain vs Soton ...kipindi cha pili alipotolewa tu Wanyama na Mane wakarudi mchezoni mkazidiwa mpaka mkafungwa 1-0 dakika ya 87

Fellain vs Chelsea Hii game baada ya sub yake Chelsea wakaingia Attackers wawili Hazard na Pedro

mkaanza kuzuia, kiungo yenu Ikafa

Anaye underestimate Mchango wa Fellaini ana matatizo nae binafsi na kumfanya Scape goat

jamaa ni KIUNGO MUHIMU SANA
 
Haya wazee wa kulia lia bingwa mtarajiwa napita hapa

Kama mnaona ligi kuu engalnd mnaonewa nendeni hata ligi ya china teh teh teh teh
 
Leo tusipopunguza pengo hadi pointi tatu basi ujue tunawalakini. Leicester v. Arsenal na Man City v. Spurs lazima baadhi wapoteze mwelekeo sisi kazi yetu ni kujipatia pointi tatu kwa Sunderland mengineyo kujipa tu .
 
Huyu De gea kasusa kaona mnamtegea kila mechi kaamua kuwakumbusha kujifunga anaweza

Kama mnaona mnaonewa ombeni timu yenu ihamishiwe ligi kuu ya china
 
Back
Top Bottom