wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Uyu fullback wa man u wa kushoto anapiga kross hatar toka mpira uanzishwe centuries kadhaa zilizopitaCBJ yupo safi dogo....anakaza sana
Uyu fullback wa man u wa kushoto anapiga kross hatar toka mpira uanzishwe centuries kadhaa zilizopitaCBJ yupo safi dogo....anakaza sana
Imewahi kuwa sawa na itakuwa sawa, ana legacy ya invincibility kukuhakikishia kuw yuko sawa.Arsenal haitakaa kuja kuwa sawa, labda aondoke yule kipulilo
Msimu huu ulivyoanza Mata alikuwa anacheza vizuri kama Mourinho anavyotaka hapa karibuni alipoteza fomu kwa hizi game mbili kacheza vizuri sana.Mourinho ana matatizo ambayo bodi ya Man United watampa condition huko nyuma alikosa hiyo kazi kwa sababu hizoNi kweli Belo mtu kama Mourinho hataweza kukaa na Depay. Hata Fellain atakuwa kwenye wakati mgumu. Ila masikitiko yangu makubwa yatakuwa kwa Mata. Hapo ndipo ninapopata ukakasi kwa Mourinho.
Positions or possession?Taratibu chifu...appreciate basi hata kidogo kuwa timu imecheza vizuri kwa ujumla...tulikuwa ugenini kwenye uwanja ambao hata SAF alikuwa hashindi...Chel$kis ndiyo timu iliyoshinda mechi nyingi dhidi ya Man United katika EPL. Hivyo, pamoja na kuumia na droo, lakini timu imefanya vizuri. Kama alivyosema Belo, cha muhimu ni kuendelea na momentum hii...
Sasa hivi timu inacheza more dynamic kuliko kuwa rigid kwa ku-stick kwenye positions.
De gea is freak of nature
Dah sijui sie kipa kama uyu tutampata lini
Kwani wewe haukutani nazo? Sasa ni mwendo wa six pointers tu, na nyie mtadrop pia.Kabisa. Tutakaa poa tu...bado tuna nafasi ya kucheza UCL msimu ujao...kwa sababu timu zilizo juu zitaanza kukutana kuanzia wiki ijayo...hivyo lazima zita-drop points tu...
Unacheza soka?! Nilichokiandika ndicho nilichokimaanisha. Katika mechi tatu zilizopita timu imekuwa more dynamic kuliko mwanzoni, ambacho wachezaji walifuata maelekezo ya kocha ya ku-stick kwenye positions zao.Positions or possession?
De Gea ni shida, leo kaokoa goli tatu sijui kivipi, vinginevyo zilikuwa kambani. Ya Ivanovic, ya Costa na ya cesc! Dah. Tatizo Real wataanza kumu-unsettle wakati wa summer.De gea is freak of nature
Dah sijui sie kipa kama uyu tutampata lini
Wiki ijayo Goons wanacheza na Leicester, na Shitty wanacheza na Spurs. United itacheza na Sunderland. Kwa hiyo hapo, United ikishinda, itapunguza gap kati ya timu zilizo juu yake. Kwa sababu hata mechi zote hizo ziishe kwa droo, bado points zitakuwa dropped.Kwani wewe haukutani nazo? Sasa ni mwendo wa six pointers tu, na nyie mtadrop pia.
Mchawi van gal akiondoka tutashibdaTuongeze nguvu kwenye striking.
Timu inahitaji mabao mengi
De gea sio leo tu yule kila mech anawabeba man u japo wana poor defence na khsu kubaki sidhn kma man u wataridhiaDe Gea ni shida, leo kaokoa goli tatu sijui kivipi, vinginevyo zilikuwa kambani. Ya Ivanovic, ya Costa na ya cesc! Dah. Tatizo Real wataanza kumu-unsettle wakati wa summer.
Ni kweli Belo mtu kama Mourinho hataweza kukaa na Depay. Hata Fellain atakuwa kwenye wakati mgumu. Ila masikitiko yangu makubwa yatakuwa kwa Mata. Hapo ndipo ninapopata ukakasi kwa Mourinho.
Lol, ndio mlivo watoto wa kipulilo, wenzenu mkiwauliza mafanikio makubwa utaambiwa uefa ama treble, nyie mnakimbilia invincibleImewahi kuwa sawa na itakuwa sawa, ana legacy ya invincibility kukuhakikishia kuw yuko sawa.
Sasa hivi pia haiko sawa ila yuko juu yenu.
Tatizo kwa wewe shabiki wa Goons? Anyways, United ni kawaida kuwa na world class goalie. Akiondoka DDG, atakuja mwingine. By the way, wewe ni wakala wake ama? Maana inaonekana unazijua taarifa zake kuliko hata De Gea mwenyewe! Juzi hapa amekana huo uzushi na kusema ana furaha OT na anatamani acheze hapo kwa muda mrefu.Tatizo Real wataanza kumu-unsettle wakati wa summer.
Poor defence unai-define vipi? Kwa mujibu wa takwimu: ni Spurs tu ndiyo wamefungwa goli chache 19. United na Goons wamefungwa goli 22. Ndiyo defence bora ya ligi baada ya Spurs.De gea sio leo tu yule kila mech anawabeba man u japo wana poor defence na khsu kubaki sidhn kma man u wataridhia
Kweli kabisa. LvG alianza kulinda goli mapema mno. Angemwingiza Depay mapema na kucheza kwa kutumia wings ili beki mbili na tatu wa Rent Boys wawe busy. Maana katikati tayari Morgan alikuwa yupo. Anyway, kwenye goli kuna kosa la dogo CBJ, kutokana na kutokuwa na uzoefu, alimchezesha Costa na kumfanya asiwe offside, kwani Blind na Smalling walikuwa wamejivuta mbele kidogo.Tumewahi kukaba sana hii game baada tu ya kupata goli moja. Hatujamfanya ivanovic kuwa bize na akawa anapeleka krosi za kutosha. Ni heri nafasi ya winga mmoja tungempa kiungo mkabaji kama tuluamua kucheza deep kihivyo.