Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

First, his footballing philosophy isn't for United.Second,he doesn't give young players a chance to play. Waangalie akina Delle Alli na Kane wanavyofanya vizuri chini ya Pochettinio.
Le mee ask you one question bro, why poch and not mou?
 
Hapa Memphis alichemsha kutoa pasi...kulikuwa na wachezaji watatu wa United dhidi ya mmoja wa Chel$kis badala ya square pass yeye akapiga forward pass iliyompiga beki...
Huyu dogo ana kipaji ila mnatakiwa mumpe muda, kumfanya scapegoat haimjengi.
 
All in all, nimeridhika na matokeo na haswa timu ilivyocheza. Bado tuna nafasi ya kucheza UCL mwakani.[/QUOTE]
Binafsi nimeridhika na mchezo wa utd kabla ya goli sema hawakujiamini kuwa wanaweza kuwafunga Rent Boys. Walitakiwa waendelee kupushi forward. Wasiwasi wangu mkubwa ni nani tutamtoa kwenye top 4 kati ya Leicester na Spurs?
 
Poor defence unai-define vipi? Kwa mujibu wa takwimu: ni Spurs tu ndiyo wamefungwa goli chache 19. United na Goons wamefungwa goli 22. Ndiyo defence bora ya ligi baada ya Spurs.


Umeliona goli alilofungwa De Gea?
Ni ujinga wa mabeki wake wa kati,,,
Wangekuwa makini wasingeruhusu ule mpira kukatisha,,,,

Point yangu kuna mda mabeki wanamuangusha kipa na ndo ninachokiona kwenu
 
Tatizo kwa wewe shabiki wa Goons? Anyways, United ni kawaida kuwa na world class goalie. Akiondoka DDG, atakuja mwingine. By the way, wewe ni wakala wake ama? Maana inaonekana unazijua taarifa zake kuliko hata De Gea mwenyewe! Juzi hapa amekana huo uzushi na kusema ana furaha OT na anatamani acheze hapo kwa muda mrefu.
Jiamini wewe, acha woga! Mimi nachangia kuhusu De Gea mimi kama mshabiki wa soka ninayemkubali, sasa povu la nini kuanzisha kuwa mi ni wakala wake?
Kama ni kuwa ana furaha, hata Suarez na Ronaldo walisema wana furaha kisha wakasepa.
 
Sahau kuhusu Leicester.hatoki top 4 ng'o....labda tumchomoe mmojawapo kati ya Arsenal,Man city au Spurs
 
Lol, ndio mlivo watoto wa kipulilo, wenzenu mkiwauliza mafanikio makubwa utaambiwa uefa ama treble, nyie mnakimbilia invincible
Unaposema Wenger hana mafanikio mnakosea, historia itamkbuka daima kwa msingi wa empire aliyoijenga na atakayoiacha.
 
Umeliona goli alilofungwa De Gea?
Ni ujinga wa mabeki wake wa kati,,,
Wangekuwa makini wasingeruhusu ule mpira kukatisha,,,,

Point yangu kuna mda mabeki wanamuangusha kipa na ndo ninachokiona kwenu
Magoli katika soka kwa asilimia 99 ni makosa ya mabeki. Ndiyo maana kuna usemi "soka ni mchezo wa makosa". Sasa huwezi kutoa a conclusive statement kutokana na kosa hilo na kusema United ina poor defence.
 
Jiamini wewe, acha woga! Mimi nachangia kuhusu De Gea mimi kama mshabiki wa soka ninayemkubali, sasa povu la nini kuanzisha kuwa mi ni wakala wake?
Kama ni kuwa ana furaha, hata Suarez na Ronaldo walisema wana furaha kisha wakasepa.
Kwa hiyo kwa kuwa Suarez na Ronaldo walisema basi kila mchezaji akisema ana furaha ndiyo alama ya kuonyesha ataondoka? Wachezaji wangapi wameshawahi kusema wanafuraha kwenye timu na hawajawahi kuondoka?

Siwezi kutoa 'povu' kwa mtu anayetumia pseudo identity; itakuwa ukichaa. Kilichonishangaza ni wewe kusema kama vile unafahamu kinachoendelea kwa mustakabali wa DDG.
 
Haujawa direct, ila umemlaumu, huo ndo ukweli.
Braza, niliandika hivi: "Hapa Memphis alichemsha kutoa pasi...kulikuwa na wachezaji watatu wa United dhidi ya mmoja wa Chel$kis badala ya square pass yeye akapiga forward pass iliyompiga beki..."

Nilichokisema na kuonyesha kutofurahishwa na pasi yake. Lakini sijamfanya scapegoat. Labda pengine tunatofautiana kuelewa maana ya 'scapegoat'. Ningesema Depay kaikosesha timu ushindi kwa sababu ya pasi yake mbovu, hapo ndipo ningemfanya scapegoat. Ndiyo maana nimesema pia dogo CBJ alikosea kufanya timing ya kimchezea offside Costa. Lakini sijamlaumu dogo kwa kuikosesha timu ushindi. Wamefanya makosa, lakini sijawaulumu, kwa sababu ni makosa ambayo yanavumilika, siyo ya kumfanya niwas-scapegoat.
 
JS82066395.jpg
 
Back
Top Bottom