Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hilo la kuwa kama Liverpool ni ngumu chifu. Kilichowaponza Liverpool ni 'umaskini'. Mpira wa sasa ni pesa tu: kwa kutumia pesa unaweza 'kununua' ubingwa. Kama walivyofanya Rent Boys na Man Shitty. Unanunua wachezaji walioiva tayari, unawatafutia na kocha mzuri.
mkuu,kuna viashiria vingi vya hatari,kwa muda sasa city wamekuwa na maamuzi bora dhidi yetu,ni dalili mbaya hizi,amini nakuambia
 
mkuu,kuna viashiria vingi vya hatari,kwa muda sasa city wamekuwa na maamuzi bora dhidi yetu,ni dalili mbaya hizi,amini nakuambia
Angalia returns za maamuzi yao, kisha useme tena ulichokisema. Ni sawa na returns za Real Madrid ukilinganisha na maamuzi na walivyowekeza.

Sidhani kama kuna lolote la kujifunza au kujilaumu hapo. Ingawa, ni ukweli kwamba nyakati zingine United uchelewa kufanya maamuzi. Na nyakati zingine wanakuwa na sababu za msingi. Kufanya maamuzi kwa umakini na busara ni vyema kuliko kukurupuka kutokana na mihemuko ya mashabiki au namna timu pinzani zinavyofanya.
 
mufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.

Fellain over Morgan once again,
 
Woyoooo
Ushindi lazima
Hata kwa goli la offside
 
mufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.

Fellain over Morgan once again,
nisipo mwona Morgan roho yangu haitulii kabisa sijui kitatokea nini leo
 
Hahaha van gal kama kawaida yake haya tusubiri game tuone miujiza ya fellain
 
nisipo mwona Morgan roho yangu haitulii kabisa sijui kitatokea nini leo
leo kati wapo fellain na carric, sijui nini kitatokea!! nikimwona martial, japo hatacheza kama final striker, ila kidogo inatia moyo
 
mufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.

Fellain over Morgan once again,
we jamaa hiki kikosi chako vp mbona Morgan ameanza aise
 
mufc XI: De Gea, Darmian, smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Carrick, Lingard, Mata, Martial, Rooney.

Fellain over Morgan once again,
Huyu kocha huwa anafikiria nini aisee
 
kwengineko
36'
Arsenal
0 - 0
Southampton
flash.gif
37'
Leicester City
0 - 0
Liverpool
flash.gif
36'
Norwich City
0 - 2
Tottenham Hotspur
flash.gif
37'
Sunderland
0 - 1
Manchester City
flash.gif
36'
West Ham United
0 - 0
Aston Villa
flash.gif
21'
Crystal Palace
0 - 0
AFC Bournemouth
flash.gif
22'
Manchester United
1 - 0
Stoke City
flash.gif
21'
West Bromwich Albion
0 - 0
Swansea City
 
Back
Top Bottom