Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.

Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.

Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.

#Let'sdothisUnited
Asanteeeeeee ulibaki mwenyewe kukubali hiliiiii . ......but nakumbuka hili "Tutafika tu"
 
Ndugu zangu huu msiba tunazika hapa hapa nyumbani au marehemu tunamsafirisha kwa mumewe,mimba ya goli 1 mbaya sana kwiiii kwiiiii duh chizi karogwa tena.
Mimi leo mgeni wako niandalie vinywaji vya kutoshaaa.....
 
Na unadunda kweli hadi ukamkuta Austin teeehe teeehe ukimuona everlenk na ndugu yangu @cuteb wape pole
Hahahhhahahha jana nilikuwa na kazi moja tu nimepanda kabisa kny kurasa zote za Man U hadi e-mail nimeandika barua nzito kama ya yule shabiki wenu aliyeandika kipindi kile cha Brendan,nimechamba mzaramo nyumaaaa na yai langu bovu la kiTz hivyo hivyo watapata message.
 
everlenkmnaangalia167386 said:
Nipo niende wapi miye na Man U ndo mume wangu wa kufa na kuzikana ila nina mchepuko mmoja Barca alinifuta machozi kiaina......leo mi mgeni wako usinikimbie tu....
Yaani siku hizi mnaangalia game kwa kuvizia.
Jana nasikia uliamua kupika maboga badala ya kuangalia game...tehe tehe.
 
Ai wewe Nzi ina maana wakimuacha na wewe utakubali ??. ......ahhhaaa umoja ni nguvu bana tukipaza sauti zetu bodi watasikia....
Bodi ndiyo inajua zaidi yetu sisi washabiki. Na inafanya maamuzi yake kwa kuzingatia ushauri na mapendekezo ya wataalamu.
 
Mi ni Wa darajan yaan naona position ya 14 hatutoki imekuwa km tarhe ya kuzaliwa.
Aiseeeee best angu nimevurugwa sana mpka nimekusahau......Ila na wewe umepotea mnoooo!!!! Habari za siku mingi
 
Back
Top Bottom