Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katufanya tusiitizame kwa aman mech ya arsenal dhidi ya Chelsea leo, van gaal jinga sana
 
nafurah sana siku hizi maisha kwenye hili group ni ya matumaini, ama kweli vichapo noma sana
 
Katufanya tusiitizame kwa aman mech ya arsenal dhidi ya Chelsea leo, van gaal jinga sana

naomba tukaiangalie tu ile mechi ya chelsea kwa amani maana kama umeshindwa kuliona kandanda safi shamba la bibi basi utaliona the Emirates, usiache kuhudhuria mkuu
 
Leo hamuondoki na point tatu mkuu
 
Siku yangu itakua poa sana wakibaniwa hawa jamaa, maana wameshachukua ubingwa kwa mdomo tayari
Haters wote wa Looserfool, manure,city, spurs woote leo wako against arsenal

lakini HAITASAIDIA kama perfomance itakuwa ya ukweli CHELSEA atakufa tu

naona sasa Furaha yako nyingine ni kuomba NJAA kwa arsenal

na sasa ndo unajua UGUMU WA KUPATA TOP 4

khe khe khe kheeeee
 
Nilivoona qoute yako tu, nikaanza kucheka kabla hata sijaiosoma,

Mkuu mi leo nawaombea njaa balaa, but nashukuru nao Leicester hawawapi nafasi ya kupumua
 
Attachments

  • 1453623981883.jpg
    1453623981883.jpg
    21.2 KB · Views: 31
Haters wote wa Looserfool, manure,city, spurs woote leo wako against arsenal

lakini HAITASAIDIA kama perfomance itakuwa ya ukweli CHELSEA atakufa tu

naona sasa Furaha yako nyingine ni kuomba NJAA kwa arsenal

na sasa ndo unajua UGUMU WA KUPATA TOP 4

khe khe khe kheeeee

Chelsea hafi leo ata iweje
 
Back
Top Bottom