Mkuu wangu RRONDO tatzo la timu yetu ni kubwa zaidi ya tulionavyo, tatzo lenyewe linaanzia kwenye bodi hata kabla hatujafika kwa van gaa, bodi hii hii ilikubali SAF na D.Gill waondoke kwa pamoja huku wakimteua woody ambaye hana elimu yyte ya mpira achilia mbali michezo kwa ujumla,
Alipewa rungu la ku-controll each and everything concerning MUFC ikiwa ni pamoja na transfer and the world famous our academy ( kumbuka hatuna DoF na huyu jamaa profession yake ni mwanafizikia, physicist japokua alikua anafanya kazi kama accountant.)
Toka kapewa hayo majukumu, Brian mclair ambaye ndie aliyekua anaongoza academy yetu aliachia ngazi ni zaidi ya Mwaka sasa na bado hajawa replaced and our academy is currently being run by the club secretary, no wonder kwann academy yetu sio productive kama wengi tudhaniavo.
Juzi juzi tu hapa about two weeks ago our academy head of recruitment Derek Langley katangaza kuachia ngazi mwishoni mwa msimu sitashangaa nae asipotafutiwa mbadala.
Kuna kipindi ( nadhani tulivopoteza kwa Norwich) THE SUN walitoa article yao moja wakawa wanasema van gaal kaomba Ku resign zaidi ya Mara mbili lakini woody alimkatalia sikutilia sana maanani maana ni THE SUN, lakin Jana media nyingi zimeandika hivo ikiwemo na guardian
Louis van Gaal offered to resign as Manchester United manager on Saturday
Na sababu kubwa ya woody kukataa ni urafiki wake na van gaal pia ikumbukwe ni yeye aliyependekeza jina la van gaal baada ya kumtimua Moyes hivo anaogopa kupoteza imani kwa board kuonekana kafeli.
Woody & Glazzers wenyewe ni watu wa biashara so what matter to them is developing commercial opportunities na kwa hilo wamefanikiwa saaana but we need a couple of football people involved somehow.
Woody kuongea na senior players it can't help, how many senior players do we have? Only Rooney and carrick ( Bastian is exception) kwa kiwango anachokionesha Rooney kwa sasa na still anaaminiwa na van gaal tusitegemee kama atamuongelea mabaya and he is our captain so don't expect anything in return.
Labda mwishoni mwa msimu ndio ataondoka au pale ambapo itaonekana kabisa mathematically we are out of top four ndio watampa timu Giggs hii itakua sawa na pale mnapojua mgonjwa sasa hawezi kupona tena ndio mnambadilishia dokta.