Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Teeeeehe teeehe nisamehe tu mtani marongotaHata kama adui mwombee njaaa we umezd mtan
Angalia CRTV azamtv other channels ni ya BURE ....Kila J1 game 1 ya SAA 12:00 Mechi kubwaNdani ya kibanda umiza sasa
Nimeshaingia tayari. Sina hiyo azamtv.Angalia CRTV azamtv other channels ni ya BURE ....Kila J1 game 1 ya SAA 12:00 Mechi kubwa
Pole mkuu kwa Man hii vibanda umiza ni full stress bora ht Live stream au LivescoreNimeshaingia tayari. Sina hiyo azamtv.
Asante Bitoz. Stress tupu humu kibandaniPole mkuu kwa Man hii vibanda umiza ni full stress bora ht Live stream au Livescore
Mkuuu mane ni bonge la mchezaj na anajituma natumaini kama ataendelea hivo usajili wa dirisha kubwa anaweza yeyaThat boy Mane anatakiwa achezee timu kubwa zaidi ya Southampton. Dogo namkubali, kidogo awalize pale.
Hili sasa tatizoDarmian injured again
Timu letu bhana km lipo ugenini vile........Duh ovyooooo