Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu dogo aliyeingia sasa hivi mbona kalegea hivi. Ataweza mikiki mikiki? Halafu anajina refu.
 
heee kuna huyu mchezaji wa manure kaingia sub ya Young anakimbia kishosti shosti, mzima kweli huyu?? au ndio chakula cha wengine ...............
 
Game mbovu haina mvuto wala ladha. Bora niangalie game ya pili ya zizzou. Huku ni butua butua tu.
 
Back
Top Bottom