everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Pogba.........Una maana gani?
Pogba.........Una maana gani?
Nakutafuta sn wewe leo hebu njoo chumbani kidogo puliziiii!Pogba.........
Nakutafuta sn wewe leo hebu njoo chumbani kidogo puliziiii!Pogba.........
Dah. We acha tuPogba.........
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?
Moyes is still looking for a new gig. Wapenzi wa Man Utd mmekuwa kama baadhi ya wapenzi wa Arsenal miaka mitatu iliyopita. WALALAMIKAJI, WAKATA TAMAA MAPEMA etc, etc. Mtalaumu kocha sana lakini labda tatizo sio kocha bali wachezaji wanaoshindwa kuelewa mafundisho ya kocha. Kitu kingine ligi bado mbichi mnaweza kugombania kombe vs Arsenal na Citey, sababu wote tunajua Spurs na Leicester wataanguka muda si mrefu na kuna mechi nyingi za kushinda.Mkuu siatki timu yetu igeuke another Chelsea au RM, kwanza mi binafsi nilliamini kwa LVG ndio tumefika ndio tiba maana ni manger mwenye CV kubwa anaweza handle pressure ila kwa kweli naona mambo sio he seems clueless frank speaking sione light at the end of tunnel it is getting dark and dark everyday. kwa mwendo huu soon tunakua another Liverpool (God forbid) tusuburi tena tuone tunapoteana kama Moyes era...?
Tunaweza kugombania endapo van gaal ataondoka, la sivyo tutendelea kufurahia droo na timu inayoshika nafasi ya 14 huku kocha wetu akituambia tufurahi maana tumeshinda mechi mbili mfululizo.Moyes is still looking for a new gig. Wapenzi wa Man Utd mmekuwa kama baadhi ya wapenzi wa Arsenal miaka mitatu iliyopita. WALALAMIKAJI, WAKATA TAMAA MAPEMA etc, etc. Mtalaumu kocha sana lakini labda tatizo sio kocha bali wachezaji wanaoshindwa kuelewa mafundisho ya kocha. Kitu kingine ligi bado mbichi mnaweza kugombania kombe vs Arsenal na Citey, sababu wote tunajua Spurs na Leicester wataanguka muda si mrefu na kuna mechi nyingi za kushinda.
Hahahaaa kama livapuli? Kumchukua golikipa backup wa championship? Ambaye msimu unaisha mechi alizodaka hazizidi kumi ndio aje adake ligi kuu, kumchukua beki ambae hata QPR hawamtaki? Hahahaaaaaaaaaa hapana mkuu utd kuja kufika level hyo mi nitakuwa sipoMkuu siatki timu yetu igeuke another Chelsea au RM, kwanza mi binafsi nilliamini kwa LVG ndio tumefika ndio tiba maana ni manger mwenye CV kubwa anaweza handle pressure ila kwa kweli naona mambo sio he seems clueless frank speaking sione light at the end of tunnel it is getting dark and dark everyday. kwa mwendo huu soon tunakua another Liverpool (God forbid) tusuburi tena tuone tunapoteana kama Moyes era...?
Kasema eti mata kacheza mechi zote anatakiwa kupumzishwa, nasikia depay game iliyopita alikua vizuri kwann asingemuanzisha ili kumjengea confidence?Van gal nimemshidwa kwakwel na huyu fellain wake halaf unamuweka Mata nje hahahahah kwel hizi philosophy zake hatari