Thubutuuu haanguki mtu tutajikongoja Ngoja tu na tutafika salama....Oppssssss poleni sana watani naona mnaelekea mdogomdogo kwenye mtaa wenu ule wa 7
My kaka nimeamini maneno yako ulisema hawatufungi na kweli aiseee!!!!
Attack Attack Attack hata konokono Chelsea hamuwezi kumtandika ILA Chelsea walikuwa hoi.Thubutuuu haanguki mtu tutajikongoja Ngoja tu na tutafika salama....
Kiukweli leo siyo mbaya penye haki tuseme haki tatizo tu huyu mzee ubishi ila matatizo yake ni madogo sana angekubali kurekebisha hasa kipindi kile cha usajili tusingefika tulipo, kiu kweli amegive up hata kuongea kwamba yupo tayari kuresign ni dalili tosha naskia hata jana mazoezi ya asubuhi hakuwepo.Great performance....at least players showed the intent and played almost like how #ManUnited players should play....one thing that I have noticed (I might be wrong) is that LvG has given up, he seems to have had enough...
My kaka mi leo kura yangu niliwapa Chelsea nilijua kabisa hatuchomoki kumbe ndo vibonde haswaaaa, na leo ndo walisema eti waanza ligi na sisi mweeee!!!!!Attack Attack Attack hata konokono Chelsea hamuwezi kumtandika ILA Chelsea walikuwa hoi.
Leo ilibidi tushinde kabisa. Huyu Lvg asepe tuMy kaka nimeamini maneno yako ulisema hawatufungi na kweli aiseee!!!!
Naona kafurahishwa na jinsi wachezaji walivyoonyesha spirit ya kumpigania leo...hivyo kasema hakuna haja ya yeye ku-resign...Kiukweli leo siyo mbaya penye haki tuseme haki tatizo tu huyu mzee ubishi ila matatizo yake ni madogo sana angekubali kurekebisha hasa kipindi kile cha usajili tusingefika tulipo, kiu kweli amegive up hata kuongea kwamba yupo tayari kuresign ni dalili tosha naskia hata jana mazoezi ya asubuhi hakuwepo.
Siku zote Herrera, Mata na Morgan wakianza kwenye mechi, timu ucheza vizuri...sielewi kwanini uwa haiwi hivyo siku zote, hususani wanapokuwa fit....ila huyu Depay, nafikiri anapaswa kuendelea kukaa benchi kwanza..he has potential, lakini inabidi akue, yaani ni mkubwa kuliko Martial, lakini ana mambo ya kitoto kuliko Martial...Martial anacheza kama vile an established world class player...timu inapaswa kujengwa kwa hao wachezaji watatu...pia leo naona Bastian alichoka kipindi cha pili, nilitarajia Carrick angeingia kwenye dakika za 70 au 80....anyways, ngoja tuone dhidi ya Swansea itakavyokuwa....
Nilivyoona line-up tu nilijua tutashinda....kwanini huwa hapangi timu hii?! Timu iko balanced ina flow vizuri....sasa mechi tulizopoteza alikuwa anapanga timu hovyo hovyo ndio maana nilikuwa na naombea wamfukuze tu hana maana.
Lakini tuache utani ANTHONY MARTIAL is talented...dogo yuko vizuri,kamkimbiza ivanovich balaa
Hakika. Mimi sielewi juu ya watu kutaka mpiga domo aje OT. Yeye huyu kama kuja, ni iwe the last resort....lakini kamwe asiwe first choice...leo kwenye game, umesikia commentator mmoja kaongelea ati Mark Hughes anaweza kuja OT...yaani hawa watangazaji wengine, kupata two straight wins, Hughes anaonekana kocha mzuri....hawa waingereza wana matatizo....kiukweli kama LvG akiiacha timu ikiwa stable, I would prefer Pep kuja kuchukua timu, huku akiendelea kufanya kazi na Giggsy, ambaye atachukua mikoba baadaye..But SAY NO TO MOURINHO
SAY NO TO GUARDIOLA