Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Safiiiiii my brother kuna watu hupenda kuwatafutia ban wenzao.....twende zetu tukacheze kibao chetu cha Utanipenda?. ....lol
Ndo ivo .....tukajiselfie
Safiiiiii my brother kuna watu hupenda kuwatafutia ban wenzao.....twende zetu tukacheze kibao chetu cha Utanipenda?. ....lol
Majirani poleni naona mnajitAhidi....
Ungesema leicester waipige chelsea ningekuelewa, unachotaka hapo juu will come to haunt you come March! Mpinzani wa top four bado ni chelsea, liver, tottenham, sioni leicester city wakiwa hapo mpaka March! Tusubiri wiki ya tatu ya januari tutaona mbivu na mbichi, mchele utajitenga na chuya! Kuna tight schedule ya Xmas na new year, hapo ndo wasindikizaji huishiwa pumzi!Tofauti zetu weka pembeni,Jumatatu nakupa kazi moja tu naomba nipigie Leicester. ........ukifanya hivi nitakupa zawadi ya ushindi.
Ungesema leicester waipige chelsea ningekuelewa, unachotaka hapo juu will come to haunt you come March! Mpinzani wa top four bado ni chelsea, liver, tottenham, sioni leicester city wakiwa hapo mpaka March! Tusubiri wiki ya tatu ya januari tutaona mbivu na mbichi, mchele utajitenga na chuya! Kuna tight schedule ya Xmas na new year, hapo ndo wasindikizaji huishiwa pumzi!
Tofauti zetu weka pembeni,Jumatatu nakupa kazi moja tu naomba nipigie Leicester. ........ukifanya hivi nitakupa zawadi ya ushindi.
Huyu LVG ni mbovu kuliko Moyes!!!!!!!!!!!!!! Yes i said it.........
Majerahi yanazid kutuandama aisee
Hivi tukisema tupige kura kati ya Depay na Luis Nani awe mchezaji wa Man wewe utampendekeza yupi?