Yaani hii timu mbovu imewatoa jasho kiasi hiki. Man u inatakiwa kufanyiwa over all. Timu ni mbovu kwa kweli. January inakuja, imarisheni kikosi. Kikosi chote cha Leo hakuna mchezaji mwenye hadhi ya kuvaa uzi wa united. Mkiendelea hivi itakuwa hamna namna tena inabidi mpigwe tu.
Poleni wooote, including everlenk
Niki"joke" jukwaani kwenu huwa unapaniki Braza.......
mtoto wa kiume acha kulialia ............
Asante sana my kaka, tutafika tu......
Yaani hii timu mbovu imewatoa jasho kiasi hiki. Man u inatakiwa kufanyiwa over all. Timu ni mbovu kwa kweli. January inakuja, imarisheni kikosi. Kikosi chote cha Leo hakuna mchezaji mwenye hadhi ya kuvaa uzi wa united. Mkiendelea hivi itakuwa hamna namna tena inabidi mpigwe tu.
Poleni wooote, including everlenk
Kule kwa mchepuko wako hali nayo C nzuri. Jamaa Leo wametepeta kinoma. Timu kwa sasa bila Neymar inakosa makali.
Haina kwere
Ulimaanisha; "over haul"????!
Yaani leo huzuni kila mahali acha tu !!! magoli yamerudi dakika za mwisho,Barca wajilaumu sana kwa hili Atheletico haoooo.....huku nako Tottenham haooooo tuwaombee Njaa kesho Arsenal, Leicester na Totenham.....lol
Kesho nategemea mabruda mtanipa raha nisahau machungu yangu....