ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
furaha utaipata wap wakati anashabikia arsenal
mkuu ntake Radhi mimi nipo kwenye daraja linaloendelea kuporomoka lakini siondoki kamwe
furaha utaipata wap wakati anashabikia arsenal
Pole shemeji weee andaa huzuni tu....#GGMU
Morgan mbona simuoni hata sub
Morgan,Herrera ni majeruhi.Leo bora Fellaini anacheza kama DM
shem ntakutafuta baada ya dakika tisini
mkuu ntake Radhi mimi nipo kwenye daraja linaloendelea kuporomoka lakini siondoki kamwe
Kitulizeeeee relaxxxx
Hujambo...