PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,262
- 22,143
Bye bye van gar mpaka mwakan hta cc tunaomba dua
Yaani hilo jina ulivyoliandika mwenyewe Akiona anaweza kurusha ngumi.
Bye bye van gar mpaka mwakan hta cc tunaomba dua
Viroba kazini!naweka milioni wewe weka jiwe. United anampiga wolfsburg leo na anafuzu
Hata mimi nitafurahi saaaana!!!leo man u wakifungwa nitasheherekea Siku yangu ya kuzaliwa kesho nikiwa na furaha
Pole sana,ina maana hujawahi kushangilia birthday yako ukiwa na furaha?
The name nadhani kishajibu, kama atapatikana na hatia anaweza akakosa za Bournemouth, Stoke na Norwich
Rest In Peace Man U!
leo man u wakifungwa nitasheherekea Siku yangu ya kuzaliwa kesho nikiwa na furaha
kaka leo mechi unaionaje kwa upande wetu?
Hata mimi nitafurahi saaaana!!!
Jiandaeni kwenda Europa, huku hampawezi!Mechi ni ngumu na hatuna wa kumlaumu zaidi ya uzembe wetu wenyewe, Wolfsburg kwao ni wagumu sana, katika mechi 42 walizochezea kwao wamefungwa nne tu, japokua historia inatulinda lakini sioni pa kutokea, let's wait and see,
leo man u wakifungwa nitasheherekea Siku yangu ya kuzaliwa kesho nikiwa na furaha
Mkivuka kesho mtoano mnakutana na Barca, bora tu mtolewe hukuhuku mapema!Dah! Mi nataka timu za epl zitusue, kesho nami roho juu huko Greece!
Kiroho kinadubda jamaniiiiiii
ni kweli mechi ni ngumu sana. ushindi ndio njia ya pekee ya sisi kwenda kwenye 16 bora. pia tuombe CSKA moscow amfunge psv. ila leo pagumu lolote linaweza kutokeaMechi ni ngumu na hatuna wa kumlaumu zaidi ya uzembe wetu wenyewe, Wolfsburg kwao ni wagumu sana, katika mechi 42 walizochezea kwao wamefungwa nne tu, japokua historia inatulinda lakini sioni pa kutokea, let's wait and see,