Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiroho kinadubda jamaniiiiiii
Kaka ndo safari imeshawadia, kitu cha lazima kinachotokea huwa moyo hauamini.
Tulia Mkuu, hakikisha umekunywa maji mengi ili kwamba ukizimia ukipelekwa Hospital watu wasisumbuke kukuwekea Drip za maji.
Uambie moyo wako kuwa leo ndo mnaaga rasmi UEFA kubwa.
 
ni kweli mechi ni ngumu sana. ushindi ndio njia ya pekee ya sisi kwenda kwenye 16 bora. pia tuombe CSKA moscow amfunge psv. ila leo pagumu lolote linaweza kutokea
I believe too.....
 

Attachments

  • 1449599727218.jpg
    1449599727218.jpg
    36.1 KB · Views: 116
Game ngumu sana ya msimu huu,sioni tukishinda but i hope CSKA anambania PSV

Tuombe CSKA am-banie angalau droo na sisi tudroo lakini akidroo sisi tukapigwa itakua kazi bure mkuu, GD wametuzidi
 
Dah hivi kwel nitoke kwenye kukesha j4 na j5 nishift alhmsi na ijumaa aaaaah van gal attack Leo afe beki afe striker tupite tu
 
lolote Leo laweza tokea ila cna iman na lvg kama anastahili kuifundisha man u
 
Hapana aisee kwa ichi kikosi hamna ushindi majonzi tu timu yetu haina nguvu kabisa..
 
Back
Top Bottom