Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Ha ha ha hana hela ya kula wikiend na ndio kwanza mwanzo wa mwez na mshahara mwisho wa mwezi...kaja kujiponza.
Ukikaa na mtu mweny akil na wew unakuwa na akili...kaja kuiba maujuzi ya LVG
H ahahahah mtani sema tutakumiss ila BR alisababisha wengi sana kubadili ID naona sasa wote wamejileta ,mtani kama wewe ulivumilia shida zote hauna haja tena ya ID mpya labda kama unataka totoz MMU....lol
Hahaaaaaa .... Nitatumia mbinu za u-senior member tu
Pacha bora umekuja .......watu wanalia kwa mgongo wa Man U ,waje direct tulicheze segere wote mambo gani ya kujifanya Man U inahuuuu.....lol.....sijui leo nimepiga cha Arusha
Unayo leseni ya kutumia cha Arusha mrembo?
Btw nafurahi kujua kuwa wewe pia ni Man Utd fan.
Ukiwa kwako unaandika maneno ya ajabu lakini ukija kwetu unakua mpoleeeeee .... Haya mtani uwanja wako huu
Hahahahaha hayo majani tu yaliyobarikiwa na mwenyezi hayahitaji leseni. ........
Aiseeee Arushaone karibu sana, mi ni Man U damu huko kwingine huwa napasha joto tu....siku moja moja uwe unaonekana humu tutiane joto.
Umeona eeeeh
Akiwa kwao anajionyesha rangi zake
Mmmmmh mpk vya chuga unapiga we ni chiboko......
He hee heeee umeanza lini kunisagia sumu.....
Hahahaha nilikuletee kimoja tu unaonaje? Mzima lakini wewe?
Sorry mkuu herrera nilizidiwa machungu juu ya team yetu ssa leo nimekuja ona tofauti ya lvg na Klopp Lucas ,Can na Origi chini ya Jorgen Klopp wanaubora mkubwa kuliko Mata ,herrera na schneiderin chini ya Van gal ..
Liverpool ndani ya game 4 wamepata goal 14 wamefungwa goal 4..
Klopp Anasimama kuanzia dkk ya kwanza hadi ya mwisho akiwapa Hamasa wachezaji wake ..kwanini wasionekane bora na kwanini wasijitume .
Matokeo yake STURRIDGE aliyekaa hospitalin muda mwingi Ana goal nyingi zadi kumshinda Rooney ..
Van Gal katika mechi 8 katoa droo 4..
Anakaa kuanzia dkk ya 1 hadi ya mwisho .
Hii ni tofauti ya kuwa na kocha na mwenyekiti sisi man Utd tuna mwenyekiti. ..
hapa ndipo utagundua utofauti wa ujazo Kati ya kijiko na upawa.
Juzi tu Herrera ameomba kujua hatma yake UTD ni ipi !? . kipi kinachomfanya apigwe benchi ., hatukatai mchazaji kukaa bench swali ni hili mchazaji gain anayekufanya ukae bench! ? Rooney au A young ..
Van gal muachie tu Herrera aendezake kwa makocha wanaojua ..kiroho safi ache tu aende zake maana hata kabla ya kupata majeraha alikua kishaanza ku flop .