Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nenda kawashauri loserfool utuwacheeeee!!!!! Yaani kushinda hivyo vimechi viwili vitatu mshajiona ndo timu ya dunia, usituletee nuksi kwenye timu yetu hatuna shabiki dizaini yako,hatumuhitaji Klapp na hatumtaki ..... .You will never win again ......

Easy baby... Easy.... let the win win games prove him otherwise!!!
 
Ukiwa kwako unaandika maneno ya ajabu lakini ukija kwetu unakua mpoleeeeee .... Haya mtani uwanja wako huu

Hahhahahaha mtani huyu ndugu yako kaniudhi jambo moja tu la kuja na Id nyingine na kujifanya Man U yaani angekuja direct kutusagia sumu walaaa sina shida ningesaga naye tu......mtani hata wewe kuna siku yalikufika uliyashusha kama yangu hahahhaha....
 
Easy baby... Easy.... let the win win games prove him otherwise!!!

Hahhahaha wangu watu wanaboa kwanini waje na ID nyingine kusaga sumu aje mzima mzima tulicheze seger e wote,sasa mambo gani ya kujifanya Man U kaniboa kishenzi, huwa siyo mkali kiihivi ila leo yamenifika....lol
 
Kumbe fake id?? Who is he???
 
Kumbe fake id?? Who is he???

Huyo DONNGO aje tu direct na Id yake asage sumu mpka roho yake ifurahi, sasa kujifanya mwenzetu wakati siyo mambo gani haya ahhh kaniboa sana .........
 
Last edited by a moderator:
Huyo DONNGO aje tu direct na Id yake asage sumu mpka roho yake ifurahi, sasa kujifanya mwenzetu wakati siyo mambo gani haya ahhh kaniboa sana .........

Mhhhh owkey.... Naona umemuhifadhi teh!
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa kwako unaandika maneno ya ajabu lakini ukija kwetu unakua mpoleeeeee .... Haya mtani uwanja wako huu

Poyeeeeee Mtani wangu am sorry sana najua limekuudhi ila kwa leo nisamehe tu.......uthikathirike sisi wote Reds.......lol
 
Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi
a. Itainua jina la Utalii wetu
b. Itaingiza fedha za kigeni kuliko mahali popote Afrika
c. Na itaifanya Tanzania kuwa katika hadhi ya pekee yake kila watu wanapozungumzia utalii duniani.

I would like though to patent it. Sijawahi kuisikia mahali popote, haipo katika sera zetu za utalii, na siyo mawazo ya mtu mwingine (I didn't plagiarize). How can a Tanzanian patent an idea that will affect the tourism industry and earn him some good money?

Can I patent an Idea in US that will affect another foreign country? I'm willing to share that idea with someone who knows architecture, drawing, and marketing.....Believe me, once you hear it, It'll blow you mind!!!!!!
Hii sielew imekujaje huku.
Jf sometimes inaboa
 
Msaga sumu.....i miss you.
Mchukue huyo ndugu yako bhana..aache kulia lia....

Pacha bora umekuja .......watu wanalia kwa mgongo wa Man U ,waje direct tulicheze segere wote mambo gani ya kujifanya Man U inahuuuu.....lol.....sijui leo nimepiga cha Arusha
 
Hahhahahaha mtani huyu ndugu yako kaniudhi jambo moja tu la kuja na Id nyingine na kujifanya Man U yaani angekuja direct kutusagia sumu walaaa sina shida ningesaga naye tu......mtani hata wewe kuna siku yalikufika uliyashusha kama yangu hahahhaha....

Hahaaaaa mpaka umegundua ni ID nyingine mtani nimekunyooshea mikono
 
Pacha bora umekuja .......watu wanalia kwa mgongo wa Man U ,waje direct tulicheze segere wote mambo gani ya kujifanya Man U inahuuuu.....lol.....sijui leo nimepiga cha Arusha

Mamy nilikuwa nakuquote wew nashangaa imetokea mzee mwanakijij sielew hata
 
Msaga sumu.....i miss you.
Mchukue huyo ndugu yako bhana..aache kulia lia....

Hahaaa miss you much .... Mmejuaje kama mwenzetu? Kavutiwa tu na gege&pressing style wacha atiririke ya moyoni...

Btw kwetu huji siku hizi au kwakua hatujafungwa?
 
Pacha bora umekuja .......watu wanalia kwa mgongo wa Man U ,waje direct tulicheze segere wote mambo gani ya kujifanya Man U inahuuuu.....lol.....sijui leo nimepiga cha Arusha

Ha ha ha hana hela ya kula wikiend na ndio kwanza mwanzo wa mwez na mshahara mwisho wa mwezi...kaja kujiponza.
Ukikaa na mtu mweny akil na wew unakuwa na akili...kaja kuiba maujuzi ya LVG
 
Hahaaa miss you much .... Mmejuaje kama mwenzetu? Kavutiwa tu na gege&pressing style wacha atiririke ya moyoni...

Btw kwetu huji siku hizi au kwakua hatujafungwa?
Kwani mtani DONNGO si mwenzenu? Je wembeee sio mwenzenu?
Jitahidin kweny soka bhana fans waache kulia lia ha ha ha.
Siku hizi ndugu yangu nipo bize had kero ndio maana
 
Last edited by a moderator:
Nikikamatwa na ID mpya nitaomba mods wanipige ban maisha 😎😎

H ahahahah mtani sema tutakumiss ila BR alisababisha wengi sana kubadili ID naona sasa wote wamejileta ,mtani kama wewe ulivumilia shida zote hauna haja tena ya ID mpya labda kama unataka totoz MMU....lol
 
Back
Top Bottom