ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Fellain akisugua bench huwa akirudi anakuwa mtamu?
Hatutapigwa, wewe ndiye utapigwa.Lazima tupigwe
Hatutapigwa, wewe ndiye utapigwa.
Lazima tupigwe
Lazima tupigwe jamani
Nakemea pepo la kutoa sare.
Lishindwe na lilegeee
leo tunashinda usijali
maana sasa hivi halftime bila bilaTuombe Mungu.
Hii timu champs afazari tutolewe turudi Europe maana kwa Hii hail ukutane na Barca au PSG mhh shughuli ki kweli
maana sasa hivi halftime bila bila
wapigwe tu kabisaAse8 nao wana sare.. chezea Geroud wew.
Kanifurahish san
leo tuwafunge hawa westham kwa kweli
Lazima tupigwe jamani
Hatutapigwa, wewe ndiye utapigwa.