Ha ha haaaa amejisahau kabisa....chezea mambo mazur ya depay wew..Kweli Man U watamu hadi watu wanaamua kujifanya mamluki hahhahhahahaha !!!!
Eti anasema baby wangu avunjwe mguu
Ha ha haaaa amejisahau kabisa....chezea mambo mazur ya depay wew..Kweli Man U watamu hadi watu wanaamua kujifanya mamluki hahhahhahahaha !!!!
Ndio mahana cc mashabiki wa man u tunaitwa nyumbu huku mitaani sababu ya nyie mashabiki wenzetu ambao amtaki kuambiwa depay Rooney Bastian babu uwezo wao mdogo plus coach average
Leo ndio nimegundua kumbe ndio mahana mtaani cc mashabiki wa man u tunaitwa nyumbuu sababu ya ubishi wetu sasa leo kisa kuwaambia ukweli, kua man u yetu mbovu wamekuja na maneno mengi mm kua mamluki watu hawataki ukweli kua team yetu mbovu sana msimu huu watabisha siku zote ukiweka mahaba mbele kwenye soka yanaficha Reality, kisa mtu anataka aonekane yeye Man U Damu basi anasupport mbaka uozo wa mtu kama LVG mwisho wa siku tutaumbuka mbaka big 4 tutakosa, ila ukisimama kwenye ukweli unakua huru, kuna watu kina everlenk na herrera LVG wanamuona Mungu, sasa hao ndo nao huwaambii kitu, tuna kazi sana, ukiwaambia Klopp bora kuliko LVG wanakuambia hamia Liverpool, tubadilike na kukubali ukweli team yetu imeoza

unanionea mkuu, ulipotoa post yako kuna sehemu nimeku qoute au kukujibu? waliokujibu ni wengine lakini unani attack mimi,
jaribu kupitia post zangu za mwisho mwisho ujue nipo upande gani.
#GGMU
umeishia darasa la ngapi?
hao wenye uwezo mkubwa mbona wapo nyuma yetu?
na cv ya lvg inajieleza yenyewe kila anapoenda anaacha watoto wanaokuja kuwa wachezaji wakubwa duniani. habahatishi na kama huoni kwamba man u sasa hivi wana watoto bora kuliko timu zote duniani unahitaji miwani kubwa sanaaaaa.
refer man united 3 barcelona 1 ile mechi ya kirafiki angalia kipindi cha pili lvg alipanga kikosi cha watoto tupu against watoto wa barca then uone kina januzaj, perreira, lingard, wilson walivyo wafanya watoto wa barca waonekane average.
hao hapo juu jumlisha depay, martial, mc nair, blacket, shaw, tuanzabe, johnstone, de gea, jones, na watoto wengine utaona kazi ya lvg ni nini.
kumbuka lvg ni kocha wa muda kaja kutoa magarasa man u na kututengenezea kikosi na hao kina bastian na Rooney ni viongozi tu kuhakikisha jahazi la man u linafika salama.

Kiukweli tuongee ukweli wenzangu kocha hatuna pale tutafute kocha mwingine sio huyu kesho lazima tupigwe
unanionea mkuu, ulipotoa post yako kuna sehemu nimeku qoute au kukujibu? waliokujibu ni wengine lakini unani attack mimi,
jaribu kupitia post zangu za mwisho mwisho ujue nipo upande gani.
#GGMU
marcus rojo ameumia bega
ameumia akiwa mazoezi. ila Rooney apumzike kwa mdaMaskini !!get well soon Rojo afadhali kesho Rooney atakuwa benchi ila apone sifurahii kwa kuumwa kwake.
ameumia akiwa mazoezi. ila Rooney apumzike kwa mda
hapo umenena vyema kabisaYes apone haraka ila asipangiwe kwanza.
Sorry mkuu herrera nilizidiwa machungu juu ya team yetu ssa leo nimekuja ona tofauti ya lvg na Klopp Lucas ,Can na Origi chini ya Jorgen Klopp wanaubora mkubwa kuliko Mata ,herrera na schneiderin chini ya Van gal ..
Liverpool ndani ya game 4 wamepata goal 14 wamefungwa goal 4..
Klopp Anasimama kuanzia dkk ya kwanza hadi ya mwisho akiwapa Hamasa wachezaji wake ..kwanini wasionekane bora na kwanini wasijitume .
Matokeo yake STURRIDGE aliyekaa hospitalin muda mwingi Ana goal nyingi zadi kumshinda Rooney ..
Van Gal katika mechi 8 katoa droo 4..
Anakaa kuanzia dkk ya 1 hadi ya mwisho .
Hii ni tofauti ya kuwa na kocha na mwenyekiti sisi man Utd tuna mwenyekiti. ..
hapa ndipo utagundua utofauti wa ujazo Kati ya kijiko na upawa.
Juzi tu Herrera ameomba kujua hatma yake UTD ni ipi !? . kipi kinachomfanya apigwe benchi ., hatukatai mchazaji kukaa bench swali ni hili mchazaji gain anayekufanya ukae bench! ? Rooney au A young ..
Van gal muachie tu Herrera aendezake kwa makocha wanaojua ..kiroho safi ache tu aende zake maana hata kabla ya kupata majeraha alikua kishaanza ku flop .