Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
duuh dude limeisha hilo ,hongereni man united magoli yenu mazuri sana na mnastahili kushinda.
Vidic (Mserbia) na Dzeko (Mboznia) wanalipizana visasi?
Man United 2
Man City 1
WAYNE SUPREME ... Rooney scores a spectacular bicycle kick to earn Manchester United the win![]()
Nina hakika Wacha1 hakuliona hili goli la Mtakatifu Rooney kama aliliona sidhani ni mzima.
...Wacha1 wanakusimanga huku!...enzi zetu tulizoea kumuona Choggo Chemba akipiga hizi 'Chemba' ma aina nyinginezo mbali mbali za "Tiki-taka!"
:msela:
Tevez simuoni leo sijui yuko wapi....
Wacha one wacha waone wenyewe.Usimcheke mamba kabla hujavuka mto maji mwana wane. (15:00 GMT Arsenal v Wolverhampton Wanderers :Emirates Stadium) angalia usije ukapotea kichakani jmosi, ukumbuke gobole lilishindwa kufyatuka kupiga ile kopo ya castle. Fanya check up njomba mapemaa huenda limeisha anza kuwa bovu.Na ile mambo ya jumatano iko maneno (19:45 GMT Arsenal v Barcelona).Nakuonea huruma.
Najuta sana kuikosa hii game,endeleeni kufukuza upepo mwambieni Anceloti Old Trafford sio mahali pa kuchezea ajiandaeYeah Q! It was one of the best games of this season.
Kama kawida ndugu yenu Wacha hataki kukubaliGoooooooolllllllllllllllllll ROONEY wapinzani kubalini hili ni goli la mwaka
Kama kawida ndugu yenu Wacha hataki kukubali
Manda salam mkuu lol.
Siye Gunners hatuna hiyana kama kitu ni cha uhakika tutakisifia hata kama ni cha mahasimu wetu.