Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
draw poa tu.
yaani tunahitaji cha pili just for cushion.GLORY MAN UTD !!!
goal of the year 2011, jamaa kafunga mwaka february .
magoli ya Man U ya leo makali sana......Hili la Rooney kali kinyama...Full TANGAZO........Safi sana.....Japo sitaki washinde ila ndo UKWELI huu....GOLI ZURI....2-1.....
Naam sidhani kama kutakuwa na goli lingine zuri kama hili la Rooney katika msimu huu....Berbatov (kama sikosei) aliwahi kufunga goli kama hili msimu huu lakini la Rooney zuri zaidi
Usijali sana si unajua money cant buy class.....,glory glory man utd we are matching on and on....Dua zako zimesikika...yamekua mawili ndiyo ila moja kwa kila upande.....LOVELY.................