Thx Mkuu Gwamahala
everlenk pole sn my dear....... Haya ni mapito tu
Wengine tumeshazoea na tulikua tunasubiri taarifa ya bodi ya timu kuhusu mustakabali wa kocha wetu kipenzi José Mourinho...
Ligi ni ngumu na vita vya msimu huu si mchezo....
Ila nafikiri kiasi Fulani Mashabiki wa Man Utd midomo itapungua maana mlishajifanya nyie ndio mabingwa.
Cc RRONDO
Shem nimekukubali kwa maombi. mungu wako ni mungu wa ajabu....
😂😂😂 bila
Arsenal walituvia vizuri aseeee.
Hongera yao na fundisho kwetu.
Tuliwazoea sana hawa jamaa kiasi cha kuwa na uhakika 100% kuwafunga kila game.
Kwani ajabu basi? ? Mungu wa woteee aiseee tungewafunga halafu Wenger afukuzwe? Unafikiri hampendi Wenger......lol
Yaani hamuwezi amini nililifahamu hilo toka mwanzo ila nikasema Ngoja niombe kama kawaida yangu tu, cha ajabu nina Amani kupita kiasi matokeo niliyakubali kwa mikono miwili kabisaaa na sijaumia kabisa, hapa focus kwa Everton hawa sitaki kabisa historia ijirudie yaani hawa wananiumiza kichwa ila tutashinda........ Wazima Ntuzu na Gwamahala ??
Najua waniheshimu sn lkn bora niwambie mapema mjiandae! Matinez atawafunga!
Kwasababu alikufunga wewe siyo?