everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Aliumia kwenye mechi ya Southampton yani balaa limeshaanza upande wa mabeki ingawa Phil Johns leo anaweza kurudi
Get well soon Rojo,Mc Nair and Luke Shaw.
Aliumia kwenye mechi ya Southampton yani balaa limeshaanza upande wa mabeki ingawa Phil Johns leo anaweza kurudi
Mtani tunachomoka amini usiamini.teeeehe teeehe ndiyo umestuka saa hivi Tractor boys hawawaachi kabisa
Mtani hapa ni kazi tu kama mzee wa tingatinga na ni wakati wa mabadiliko si kama msimu uliopita, haka ka Kombe mbuzi tunakachukua mikononi mwa Chelshitty. ...Hata mfie uwanjani lazima mpigwe tu na majeruhi yanavyo waandama hakuna namna mpigwe tu
Hahahahah mtani hata kama ni kinafiki zimeshafika huna namna nyingine zaidi ya kuniombea tu mwanareds mwenzako,niombee tu maana wewe hutafika kokote huna jinsi zaidi ya kunitakia heri tu.....✌✌✌✌All the best mtani (kinafki lakini) 😀😀😀
hata mwezi wa kumi hatujafika tumeanza kuhangaika na kikosi, kikosi chetu ni chembamba mnoo, ukiangalia tuna mechi kama tano kabla ya internation break na uefa hapohapo nahisi kuna baadhi ya wachezaji watapumzishwa na kuwapa nafasi makinda, ila nina wasiwasi kwa ufinyu wa kikosi (hasa mabeki) kuna kipindi carrick atarudi nyuma.
Sidhani kama tuna ufinyu wa kikosi especial kwenye defence labda stiker
Right back-Darmian,Valencia
Left back-Shaw,Rojo
Centre back-Blind,Smalling,McNair,Jones
Pia Darmian,Rojo,Blind,Jones,McNair hawa wanaweza kucheza nafasi zaidi ya moja,tuombe tusipate majeruhi kama ilivyokuwa msimu uliopita
Sidhani kama tuna ufinyu wa kikosi especial kwenye defence labda stiker
Right back-Darmian,Valencia
Left back-Shaw,Rojo
Centre back-Blind,Smalling,McNair,Jones
Pia Darmian,Rojo,Blind,Jones,McNair hawa wanaweza kucheza nafasi zaidi ya moja,tuombe tusipate majeruhi kama ilivyokuwa msimu uliopita
mkuu rojo shaw na mc nair wote majeruhi, ukiambiwa upange back four utapangaje? alafu ujue kuna mashindano ya uefa na mechi ngumu ukiachana na Sunderland tuna arsenal, Everton man city na c palace, so lazima tuchukue tahadhari ya majeruhi kutokea. but hayo in mawazo yangu tu.
mkuu rojo shaw na mc nair wote majeruhi, ukiambiwa upange back four utapangaje? alafu ujue kuna mashindano ya uefa na mechi ngumu ukiachana na Sunderland tuna arsenal, Everton man city na c palace, so lazima tuchukue tahadhari ya majeruhi kutokea. but hayo ni mawazo yangu tu.
mkuu hii ishu imezua mijadala mingi kwa wachambuzi wa soka kuhusu uhalali Wa cantona kuwa WC na kuwaacha watu kama vidic, starm, Beckham, Schmeichel, VDS, na Kean, watu wanahoji mzee katumia vigezo gani.
Jamani BBC wakorofiii!!!! Mumuache Rooney wetu ana hatrick yake ....lol
kocha huyo. rooney benchi martial inRooney angeingia sub bana...
kocha huyo. rooney benchi martial in
Martial Magoli angeanza bana.....
LVG amezingua leo
Tusubiri tuone sometime huwa yuko vizuri na surprise zake....